HATUA YA 207: Maneno Unayotakiwa KUJISEMESHA MWENYEWE UNAPOAMKA ASUBUHI

Kujisemesha mwenyewe ni njia nzuri sana ambayo unaweza kuitumia kutengeneza siku ambayo ni bora sana. Vile vile kwa kujisemesha mwenyewe kutakuasaidia USIISHIE NJIANI kwenye lile jambo uliloamua kulifanyia kazi. KUJISEMESHA MWENYEWE ni tiba ya akili na moyo wako hasa pale unapokuwa umeanza kupitia magumu katika kuitimiza ndoto yako. Unapopitia hali mbaya labda ni hasara kwenye…

HATUA YA 206: Maisha Halisi na Maisha ya Picha.

Siku hizi tumefikia sehemu ambayo kila mmoja anaweza kuonyesha kile anachokifanya kwenye mitandao ya kijamii. Hii imefikia hadi watu kuonyesha tabia zao na pia jinsi wanavyoishi.  Sasa kwasababu ni rahisi sana kuweka picha nzuri akiwa anakula, akiwa hoteli ya ghali, akiwa na furaha sana na mpenzi wake, wewe mtazamaji wa picha ile utaona kama Maisha…

HATUA YA 204: Kama Watu Hawa Wameisha Kuwa Mmoja Wao.

Ulishafika mahali ukaona labda dunia haina tena watu wema?Ulishatendwa kiasi kwamba ukahisi duniani watu waaminifu hakuna hata mmoja?Watu wamekufanyia mabaya kiasi kwamba ukafikiri duniani sio mahala pa kuishi tena.. Embu angalia kwa makini,  bado kuna mtu mmoja hujamtazama vizuri.  Mtu huyo ni wewe,  jiangalie wewe hizo sifa unazozitafuta unazo? Embu kuwa mmoja wao hao waaminifu!Jaribu…

HATUA YA 202: Ondoka Nyumbani.

Sehemu uliyoizoea ndio inafanya uwe na hali uliyonayo sasa hivi. Kama hapo ulipo unapata kila unachokitaka jiulize je utaendelea kupata unachokitaka kwa muda gani? Kama ukiona hakuna  muda mrefu hatua unayopaswa kuchukua ni kuondoka. Nyumbani kwako kunaweza kuwa ni kazini kwako pamoja na mshahara unaopokea. Inawezekana unadanganyika na mshahara unaopokea ukafikiri maisha yatakuwa hivyo siku…