Swali moja ambalo napenda kuwauliza watu ambao wako mbele Zaidi yangu kwenye mafanikio katika Nyanja zote, kiafya, kiroho, kimahusiano na pia kifedha au kwenye biashara ni “ Endapo ikatokea Umerudi nyuma kabisa ukatakiwa uanze upya kile unachokifanya sasa hivi, ni vitu gani hutavifanya kabisa ma ni vitu gani utawekea mkazo Zaidi kuliko vingine?” Swali hili…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 238: Kwanini Usifanye Maamuzi Hisia Zikiwa Juu?
Kuna aina nyingi za hisia kama hisia za hasira, furaha, hamasa, chuki, na nyinginezo unazozijua. Hisia zote hizi unaweza kuzigawa katika makundi mawili ili uelewe vizuri Zaidi, yaani Hisia Hasi na Hisia Chanya. Hisia zozote zile ziwe za hasi au chanya zinaweza kuwa na madhara kwetu kama zitatufanya tuchukue hatua bila ya kufikiri. Kama utajikuta…
HATUA YA 236 Wewe Upo Kundi lipi?
“Strong minds discuss ideas, average minds discuss events, weak minds discuss people.” ― Socrates Mwanafalsafa wa zamani sana aitwaye Socrates aliwahi kusema akili kubwa zinajadili mawazo, akili za kawaida zinajadili matukio na akili ndogo zinajadili watu. Ni miaka mingi sana imepita lakini haya maneno bado yanaishi. Kwenye jamii zetu bado tunaona watu wakifanya mambo yale yale…
HATUA YA 235: DUNIA IMEJITOSHELEZA.
Ni ajabu sana kuona watu wakigombana kwasababu ya mali au vitu ambavyo vinaweza kupatikana kwa kutafuta kwa bidii. Ni jambo la kushangaza kuona mtu anamchukia mwenzake kwasababu amemzidi kipato au kiwango cha mafanikio. Inashangaza na kusikitisha mno kuona watu wanauana kwasababu ya vitu ambavyo vinaweza kupatikana endapo tu mtu atasimamia kile ambacho Mungu ameweka ndani…
HATUA YA 234: Simama Upigane au Potea Kabisa.
Upoanguka wakati wa changamoto unakuwa na maamuzi ya aina mbili. Moja ni kusimama na kuendelea kupigania ushindi au kupotea kabisa. Unapoamua kupotea unakuwa umekubali ugumu wa kila namna uliopo hapa duniani. Unakuwa umekubali kuendelea kuwa maskini, kuishi maisha ya kawaida kama wengine. Unapochagua kusimama na kuendelea na pambano unakuwa umeamua kupigania kile ambacho umesema unakitaka.…
HATUA YA 233: Wewe Unafanya Kitu gani kati ya Hivi?
Kutengeneza Pesa na Kutafuta Pesa. Mojawapo ya njia ya kujitengenezea umaskini siki zote za maisha yako ni kubakia unatafuta pesa maisha yako. Kama unataka ufikie uhuru wa kifedha lazima ujue kuzitengeneza fedha. Tunaposema kutengeneza fedha sio kuwa na mashine inayochapa pesa bali ni kuwa na njia zinazoweza kutengeneza pesa hata kama wewe hutaweka nguvu yako…