Kila kitabu hapa kimezaliwa kutoka maisha halisi — yangu na ya watu niliokutana nao. Havikuandikwa ili kujaza rafu, bali ili ubadilishe kitu leo.
Mafanikio Kwenye Biashara
Kitabu hiki kimebeba uhalisia wa Maisha ambayo nimeishi na kujifunza kutoka kwa wengine. Pamoja na kitabu hiki…
