Siri 7 za Kuwa Hai Leo

Msingi wa Maisha yenye Mafanikio

Jalada la kitabu Siri 7 za Kuwa Hai Leo
  • Softcopy na Hardcopy
  • Bei halisi Tsh 19,900 Bei ya ofa Tsh 9,900 Ofa −50%

Kitabu hiki nimeandika kwa ajili yako. Kuna mambo mengi sana ya kujifunza ndani yake, na nina imani kitakuwa sababu ya wewe kusogea kutoka pale ulipo kwenda mbele zaidi.

Upo hai leo kwa kusudi maalumu. Siri saba zilizomo humu ni misingi ambayo, ukiiweka vizuri, kila kitu kingine unachojenga juu yake kinasimama imara — historia yako, maono yako, ushujaa wako na mafanikio yako.

Vitabu vingine

Mafanikio Kwenye Biashara

Kitabu hiki kimebeba uhalisia wa Maisha ambayo nimeishi na kujifunza kutoka kwa wengine. Pamoja na kitabu hiki…

Bei halisi Tsh 19,900 Bei ya ofa Tsh 9,900 Ofa −50%

Usiishie Njiani

Chukua Hatua, Timiza Ndoto Yako

Kitabu maalumu kwako wewe unayetaka ndoto yako itimie — mwongozo wa kujitambua na kuchukua hatua.

Bei halisi Tsh 9,900 Bei ya ofa Tsh 4,900 Ofa −51%

Mbinu 101 za Mafanikio

Mkusanyiko wa Hatua za Mafanikio

Makala 101 zilizochambuliwa kutoka mfululizo wa HATUA ZA MAFANIKIO — mbinu za kusonga mbele.

Bei halisi Tsh 19,900 Bei ya ofa Tsh 9,900 Ofa −50%