Kitabu hiki ni mkusanyiko wa makala ninazoandika kila siku za HATUA ZA MAFANIKIO. Nimechambua makala 101 ambazo ukizisoma zinaweza kukupa mbinu na maarifa ya kukuwezesha usonge mbele zaidi.
Kila mbinu ni fupi na inasimama peke yake. Unaweza kusoma moja kwa siku kwa miezi mitatu, au kusoma zote kwa wiki moja — chaguo ni lako.
