HATUA YA 231: Mgodi Pekee unaomiliki hapa Duniani ni Huu.

Kila mwanadamu amezaliwa akiwa amekamilika ndani yake. Hata kama atazaliwa bila ya viungo baadhi kwenye mwili wake lakini bado anakuwa amekamilika katika vitu vya muhimu sana kwenye maisha yake. Ni hatari sana kuwa na viungo vyote vya mwili halafu ukashindwa kutambua na kutumia mgodi ambao ulipewa wakati unakuja hapa duniani. Mgodi huu unao na ni…

HATUA YA 221: Jifunze kwa Mgahawa wa Maisha

Mimi binafsi ninapokwenda mgahawani kwa ajili ya kupata chakula au kinywaji nikifika nikashindwa kuhudumiwa vizuri hua ninaondoka. Kwasababu gani? Kwasababu kama huwezi kunishawishi ninunue kwanini nikupe hela yangu na hujafanya chochote cha ziada. Kwasababu mimi binafsi sijaichukua mahali kama unavyotaka kuichukua kwangu. Sasa Maisha nayo ni kama mgahawa, ni mgahawa ambao una kila kitu ambacho…

HATUA YA 206: Maisha Halisi na Maisha ya Picha.

Siku hizi tumefikia sehemu ambayo kila mmoja anaweza kuonyesha kile anachokifanya kwenye mitandao ya kijamii. Hii imefikia hadi watu kuonyesha tabia zao na pia jinsi wanavyoishi.  Sasa kwasababu ni rahisi sana kuweka picha nzuri akiwa anakula, akiwa hoteli ya ghali, akiwa na furaha sana na mpenzi wake, wewe mtazamaji wa picha ile utaona kama Maisha…

HATUA YA 190: Mambo ya Muhimu Ya Kufanya Unapoamka Asubuhi.

Vile unavyoianza siku yako inaweza kuwa sababu ya kuwa na siku mbaya sana au siku nzuri sana. Kuna makossa unaweza kuwa unayafanya bila kujua wakati unapoamka na yakaigharimu siku yako nzima. Kwanza lazima uamke mapema sana ili kuweza kuwa na siku nzuri. Unapochelewa kuamka na kuanza kukimbia kimbia kwasababu muda umekupita unakosa umakini wa kufanya…

SIMAMIA UNACHOKIAMINI

Desmond Thomas Doss (February 7, 1919 – March 23, 2006) Alizaliwa nchini Marekani Virginia Alikuwa ni mwanajeshi aliepigana vita ya pili ya dunia. Katika Maisha yake alijiwekea ahadi kwamba kamwe hatashika bunduki hii ni kutokana na Imani yake kwamba kushika bunduki ni sawa na kuua. Alipata upinzani mkubwa sana kwenye kambi ya jeshi wakati anafanya mazoezi na ilikuwa…

HATUA YA 154: Penzi Changa..

Inawezekana umeshangazwa na kichwa ambacho kinaenda leo. Ni kweli leo nataka tuangalie juu ya vitu ambavyo mara ya kwanza huanza kwa hamasa kubwa lakini ukishaanza kuingia katikati ndio unaanza kuupata ukweli halisi. Mara zote kitu chochote kipya huwa kinahamasisha sana. Wapenzi wanapoanza mahusiano siku za mwanzo wanafurahiana sana. Kila mmoja anaweza kumpa mwenzake ahadi ambazo…

HATUA YA 130: Nguvu ya Uthubutu na Kuchukua Hatua

Jambo lolote unalotamani kulifanya linaanza na uthubutu wa kuchukua hatua ya kwanza, kama hutajaribu kuanza kupiga hatua hautaweza kwenda mahali popote. Mtoto mdogo anaweza kusimama kwa kuanza kusimama kidogo kidogo huku akiogopa na mara nyingine huanguka. Nakumbuka nilikuwa na mdogo wangu mmoja wakati akiwa mdogo aliogopa sana kutambaa, ikabidi tuwe tunamwekea kioo mbele yake. Anapojiona…

VITU MBALIMBALI VYA KUFANYA ILI UWE NA UHURU WA KIFEDHA

Habari rafiki, kwenye maisha ya sasa ili uweze kuishi maisha yale ambayo unayotaka kwa zaidi ya 50% lazima uwe na njia mbalimbali za kukuingizia kipato. Usikubali kutegemea njia moja ya kukuingizia kipato. Hata kama sasa unategemea njia moja anza mpango wa kutengeneza njia nyingine kwa ajili ya vipato. Biashara nyingi kubwa zinaweza kujiendesha zenyewe na…

Mambo 9 ya Kufanya ili Uishi Maisha yenye Furaha Siku Zote.

Habari ya leo rafiki yangu na msomaji wa Makala hizi. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na safari ya mafanikio. Katika Makala yetu leo nitakwenda kukushirikisha vitu 9 vya kufanya ili uweze kua na maisha yenye furaha. Kwenye maisha zipo  chngamoto nyingi tunazozipitia na zinasababisha tuishi maisha ya wasiwasi,huzuni na woga wa kesho ukiweza kufanya…