USIISHIE NJIANI: Siri Ya Mafanikio (Hakuna Mwendokasi)

Kitu chochote kinachopatikana haraka hasa kitu kikubwa sana mara nyingi yule anaekipata hushindwa kukihimili. Hasa tukiangalia upande wa fedha na utajiri tunaweza kuwa na mifano mingi sana ya watu ambao walipata fedha nyingi ndani ya muda mfupi na wakaishia kuwa maskini kama zamani. Unajua mafanikio ni sawa na mtu anaepanda juu kwenye kilele cha mlima.…

#USIISHIE NJIANI: HAKUNA NJIA MOJA AMBAYO NI SAHIHI.

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Ukweli ambao unaweza kuwa hupendi kuusikia ni huu, hakuna njia moja ambayo ni sahihi ukiifanya lazima ufanikiwe. Hakuna biashara ambayo ndio sahihi lazima ukiifanya ufanikiwe. Kila biashara kuna waliofanikiwa Zaidi, wa kawaida na waliofeli na wengine wanajuta kabisa kufanya biashara hiyo. Hivyo rafiki yangu usikae mahali…

#USIISHIE_NJIANI: BINADAMU NDIVYO WALIVYO.

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kama utakumbuka ulipokuwa mtoto mdogo kuna mambo kutokana na utoto wako ulikuwa unapenda kujaribu sana. Kama ulikuwa mtundu sana, unaweza kupanda madirishani, mara umepanda juu ya mti. Unataka kuwasha taa, na mengine mengi. Kwa kawaida unapofanya jambo la tofauti wazazi au wakubwa zako watakwambia acha, utaumia,…

#USIISHIE_NJIANI: KUWA MTU WA SHUKURANI.

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Pamoja na hali uliyonayo sasa hivi yaani hujafikia malengo yako kwa kiasi kikubwa bado una mengi ya kumshukuru Mungu. Embu watazame wasio na uwezo kama wako, watazame wanaokosa kula lakini wewe hujakosa mlo hata mara moja. Watazame wanaokosa maarifa kama haya, hawajui wafanye nini, hawana mtu…

SEHEMU 4 UNAZOTAKIWA UWE BORA KILA SIKU ILI UISHI KWA FURAHA.

Mojawapo ya sehemu ambayo utakosea ni kusahau sehemu hizi nne za muhimu kwenye maisha yako ambazo unatakiwa uwe bora kila siku. Unajua ili uweze kuwa na mwili mchangamfu na wenye afya hutakiwi kula chakula kizuri pekee yake, lazima utatakiwa uwe unaufanyia usafi mwili, pia ufanye na mazoezi. Kama utakula peke yake ukasahau kuufanyia usafi mwili…

HATUA YA 236 Wewe Upo Kundi lipi?

“Strong minds discuss ideas, average minds discuss events, weak minds discuss people.”  ― Socrates Mwanafalsafa wa zamani sana aitwaye Socrates aliwahi kusema akili kubwa zinajadili mawazo, akili za kawaida zinajadili matukio na akili ndogo zinajadili watu. Ni miaka mingi sana imepita lakini haya maneno bado yanaishi. Kwenye jamii zetu bado tunaona watu wakifanya mambo yale yale…

HATUA YA 235: DUNIA IMEJITOSHELEZA.

Ni ajabu sana kuona watu wakigombana kwasababu ya mali au vitu ambavyo vinaweza kupatikana kwa kutafuta kwa bidii. Ni jambo la kushangaza kuona mtu anamchukia mwenzake kwasababu amemzidi kipato au kiwango cha mafanikio. Inashangaza na kusikitisha mno kuona watu wanauana kwasababu ya vitu ambavyo vinaweza kupatikana endapo tu mtu atasimamia kile ambacho Mungu ameweka ndani…

HATUA YA 233: Wewe Unafanya Kitu gani kati ya Hivi?

Kutengeneza Pesa na Kutafuta Pesa. Mojawapo ya njia ya kujitengenezea umaskini siki zote za maisha yako ni kubakia unatafuta pesa maisha yako. Kama unataka ufikie uhuru wa kifedha lazima ujue kuzitengeneza fedha. Tunaposema kutengeneza fedha sio kuwa na mashine inayochapa pesa bali ni kuwa na njia zinazoweza kutengeneza pesa hata kama wewe hutaweka nguvu yako…

HATUA YA 232: Fanya Kila Siku.

Chagua kitu ambacho utakifanya kila siku hadi kikutoe. Chagua vitu ambavyo utavifanyia kazi kila siku hadi uwe bora. Ni kwambie ukweli kama siku inapita na hakuna kitu ulichokifanya kinachoelekea kule unakotaka kwenda basi umeipoteza siku yako. Umepoteza pesa nyingi sana ambazo ulipaswa kuzipata miaka michache ijayo. Andika kwenye NoteBook yako ni sehemu gani wewe uko…

Subscribe