Kama hutakata tamaa ipo siku matunda ya unachokifanya sasa yatakuja kuonekana. Haijalishi hali uliyonayo sasa endelea kuongeza juhudi, hata kama huna anaekutia moyo au kukupongeza. Ipo siku utayafurahia matunda ya kazi yako. Hakuna jasho linalondoka bure. Usikubali kuachwa wala kurudi nyuma. Najua kuna nyakati ngumu zinafika hadi unajiuliza kama unafanya kitu sahihi kweli? Mbona Matokeo…
Mambo 20 yanayotufanya waafrika tubaki nyuma siku zote.
Habari za Leo Rafiki, Mwanamafanikio na mpambanaji mwenzangu. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na safari ya mafanikio. Katika safari hii kujifunza ni kitu cha muhimu sana. Jifunze katika vitu mbalimbali vinavyokuzunguka. Leo tunatazama juu ya mambo 10 yanayotufanya waafrika tubaki nyuma siku zote. 1. Ubinafsi Ubinafsi ni tabia mbaya sana inayofanya uishi maisha yenye majuto…
Matokeo Ya Leo Yalisababishwa, Sababisha ya Kesho Leo.
Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni furaha ya kipekee sana kukuona umefika hapa tena kujifunza. Karibu sana tujifunze pamoja Matokeo unayopata leo yanatokana na mambo uliyoyafanya siku zilizopita. Kama una afya bora Leo ulikula vizuri na kujali afya yako kipindi cha nyuma. Hivyo ukitaka kuendelea kuwa na afya bora siku zijazo anza au…
KIBURI CHA MAFANIKIO
Habari za leo Rafiki, natumaini waendelea vyema na safari hii ya mafanikio. Ni muhimu sana kutokukata tamaa kwani huko mbele tuendako yako mazuri mengi sana. Njia zitaendelea kufunguka kuliko ulivyowahi kufikiri. Leo twende tuangalie Kiburi cha Mafanikio. Hii ni hali au tabia ya mtu kuanza kujiona ameshapata kila kitu anachokitaka hivyo kuanza kufanya mambo yasiyofaa. Kiburi…
Jipatie Maarifa haya Ndani ya Siri 7
Habari, Jipatie kitabu Siri 7 za Kuwa Hai Leo na ujifunze mambo haya yafuatayo. 1. Tambua kwanini upo Hai Leo na uweze kutumia nafasi hiyo kutengeneza Historia mpya ndani ya Dunia hii. 2. Kuna mambo mengi tunayafanya, kupitia Siri hizi utaweza kutambua kwanini unatakiwa umalize ulichokianza. 3. Kwenye Siri 7 pia utajifunza namna ya kutengeneza…
SIMAMA KWENYE NAFASI YAKO.
Kila mmoja ana kitu ambacho amezaliwa kukifanya hapa duniani. Inawezekana bado hujatambua kusudi la wewe kuwepo hapa duniani. Ni muhimu sana kutambua. Simamia nafasi ya kwa bidii na kwa ubora wa hali ya juu. Upo kwa ajili ya kuonya, onya kwa bidii. Upo kwa ajili ya kufundisha, fundisha kwa bidii bila kuchoka. Umeletwa duniani ili…
Fanya Kama Hutafanya Tena.
Hatuishi mara mbili duniani, ukishaondoka umeondoka. Katika vitu muhimu sana vya kufanya unapofanya chochote ni kukifanya kama hutakaa uje ufanye tena. Kama umekutana na mtu mjali kama vile ndio mara yako ya mwisho hamtakaa muonane tena. Umekutana na fursa ifanye kama vile ndio haitakaa irudi tena. Onyesha upendo wako wote kwa wengine kama ndio mwisho…
FUNGUO: TAARIFA.
Habari za siku ya leo Rafiki natumaini unaendelea vyema.Leo kwenye kipengele cha funguo tunaangalia kitu kinaitwa taarifa. Taarifa ni zile habari au maelezo unayoyapokea. Zipo njia mbalimbali za mtu kupokea taarifa kwa kipindi hiki njia zimekua rahisi sana. Kwa kupitia simu yako ya mkononi unaweza kupokea taarifa za aina zote, kwa picha, kwa sauti, au…