Unapopitia Magumu katika maisha mara zote tunatafuta kugundua chanzo na kutatua ugumu ule. Kuna *Siri* inakua imejificha na huwezi kugundua tatizo lipo wapi. Ili uweze kutatua tatizo kwanza unatakiwa utambue *Siri*. Ukiweza kugundua *Siri* utaweza kuishi maisha yenye furaha sana hapa duniani. Hata ukipitia magumu utaweza kuzifuata *Siri* na ukaweza kutatua matatizo yako. Leo ninataka…
HATUA YA 7; Kurudia Rudia.
Kabla hujasema Haiwezekani umeshajaribu mara ngapi? Kabla hujaamua kuacha umefanya kwa Kiwango cha kuridhisha? Umerudia mara ngapi? Hivi unajua kila mbegu ina muda wake wa kukaa chini? Kama mwaka jana ulipanda mahindi na hukuvuna kabisa Kwasababu ya uhaba wa mvua haiwezi kuwa mwisho wa kupanda mwaka huu. Utatafuta namna nyingine. Tabia ya Kurudia Rudia anatakiwa…
HATUA YA 6; Nidhamu
Nidhamu ndio kitu cha muhimu sana katika safari yetu ya Mafanikio. Nidhamu ni pale unapoamua kufanya kitu iwe unataka au hutaki. Kama umesema utasoma vitabu viwili kwa mwezi usome kwa namna yeyote ile. Nidhamu ndio inaweza kukufanya ujijengee tabia mbalimbali nzuri za Mafanikio. Kama mimi nilipoamua kuandika makala hizi za kukutia moyo na kukushauri. Haijalishi…
Safari Yangu Ilianzia Hapa…
Habari za leo Rafiki yangu. Natumaini unaendelea vyema katika kupambana na maisha. Leo ninataka ufahamu jinsi mimi nilivyoanza safari hii ninayoendelea nayo. Safari ya kufundisha na kuhamasisha wengine wafikie mafanikio. Mwaka 2010 nilikua na marafiki zangu wawili Samweli Lyatuu na Steven Mshiu marafiki hawa tulikua tunasali pamoja na wakati mwingine tunalala pamoja. Mara nyingi ukiwauliza…
HATUA YA 5; Enjoy the Journey.
Mafanikio ni safari na safari yeyote ina changamoto zake. Usione wanaopanda ndege ufikiri huwa nyakati zote ni furaha tu. Kuna wakati ndege hupata misukosuko angani pia. Misukosuko yeyote unayopitia tambua ni safari huwa zipo hivyo. Ukifika wakati wa kula safarini wewe kula, Ukifika wakati mnatakiwa mpumzike pumzika. Bahati mbaya sana hili gari la Mafanikio unaendesha…
HATUA YA 4; Fanya Kitu
Hakikisha siku haipiti hujafanya kitu katika kufikia ndoto na maono yako. Kila unachokifanya kinasababisha matokeo baadae hivyo Hakikisha siku haipiti hujafanya chochote katika ile ndoto yako. Ghorofa yenye floor 50 huanza kujengwa msingi na hujengwa kidogo kidogo kila siku hadi picha kamili ya jengo huonekana. Usikubali hata siku moja ipite kwako hujafanya chochote katika zile…
Usijidanganye Ukweli ni Huu.
Kama Mwaka 2017 hutakubali kubadilika huwezi kuona mabadiliko chanya zaidi utaona mabadiliko hasi yaani maisha yataendelea kuwa mabovu zaidi. Kama Mwaka 2017 hutaamua kuanza kujisomea vitabu akili yako haiwezi kukuletea matokeo bora. Lazima ukubali Kuwekeza kwenye akili yako jaza ufahamu ambao utakupa mwanga kule uendako. Kama wewe upo hapa duniani unawaza kujenga nyumba na kununua…
Unakwenda Wapi?
Mwaka 2016 Inawezekana umekuonyesha picha ya unapokwenda au umekufanya ukapoteza kabisa mwelekeo wako.Leo Rafiki nataka ujiulize hili swali, Unakwenda wapi? Embu tafakari ulipotoka miaka yote hadi ulipo sasa! Unaelekea wapi? Je unafikia ndoto yako au unapotea? Najua kabisa na ninaelewa kwamba yako Mambo mengi unapitia ya maisha. Mengine ni Magumu sana yanaumiza moyo. Lakini ni…