Ukiondoka leo unaacha alama gani duniani?

Habari ndugu msomaji natumaini u mzima wa afya na karibu sana.  Leo tunaendelea kujifunza pamoja topic ya leo inasema asikudanganye kua muda bado upo. Maisha ya sasa yamekua mafupi sana watu wanapoteza maisha kila siku tunabaki kujiuliza lini itakua ni mimi. Leo ninakwenda kukueleza kua acha sasa kujiuliza lini utaondoka bali anza kufanya maandalizi ya…

UNAJUA NI KWA NINI UMESHINDWA? SOMA HAPA

“UNAJUA KWANINI UMESHINDWA” Habari ya leo msomaji wetu. Tunashukuru kwa kuendelea kututia moyo kwa kusoma pamoja nasi. Ubarikiwe sana. Leo tuna jifunza “unajua kwanini umeshindwa?” Unajua kwa nini biashara ulioianza ulishindwa? Kwanini kipaji chako umeshindwa kukiendeleza? Kwanini ulitamani sana kufanya jambo fulani zuri lakini limeshindikana? Kwanza kabisa kama hujalifanya hilo jambo unalozani umeshindwa basi ujue…

USIBADILI TABIA KWA KUA UMRI WA KUOA/KUOLEWA UMEFIKA

USIBADILI TABIA KWA KUA UMRI WA KUOA/KUOLEWA UMEFIKA. Habari ndugu msomaji wa mtandao huu. Karibu sana leo tunaenda kujifunza pamoja hii tabia yetu hasa vijana ambao tumefikia umri wa kupata mke na mume tumekua tukiambiwa “ukiendelea na tabia hii nani atakuoa/ utamuoa nani” Ni ukweli hawajakosea kusema ila mimi ninakwambia leo ” usibadili tabia kwa…

Wewe Ni Muujiza Uliokua Unausubiri.

Wewe Ni Muujiza Uliokua Unausubiri. Habari ya leo ndugu msomaji wetu mpendwa. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na mipango yako ya maisha. Karibu tena leo katika makala yetu. Leo tutajifunza somo linaitwa “Wewe Ni Muujiza Uliokua Unausubiri”.Wewe ndie muujiza wako katika maisha tumezoea kumuomba Mungu nakusubiri ajibu ni kweli  anajibu lakini  lazima na wewe uhusike…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓