469; UsiishieNjiani: Sio Mhamasishaji ni Wewe.

Katika kazi yetu hii ya kushauri, kutia moyo, na kuhamasisha watu huwa tunakutana na changamoto. Mojawapo ya Changamoto kubwa ni pale mtu anapokuuliza wewe umeshafanya nini mpaka unataka kunihamasisha mimi? Yaani mtu anasema ili aweze kusikiliza kile unachomwambia na kukifanyia kazi hadi aone umefanya kitu fulani. Labda tayari una gari, au una maisha fulani hivi…

KITABU: NUKUU ZA MAISHA.

KITABU: NUKUU ZA MAISHA.

Nukuu za Maisha (Malengo, Mafanikio, Mahusiano n.k) ni Kitabu kinachokupa muongozo wa maneno ya kutafakari kila siku asubuhi ili uweze kuwa na siku bora na yenye mafanikio. Kitabu hiki kina nukuu 400+ ambazo zinakupa uwezo wa kufikiri vizuri, kuishi kwa furaha na kuweza kusonga mbele katika kile unachokifanya. Nukuu za Maisha ni mjumuisho wa nukuu…

KITABU: Usiishie Njiani, Timiza Ndoto Yako.

KITABU: Usiishie Njiani, Timiza Ndoto Yako.

Kitabu hiki ni maalumu kwako wewe ambaye unataka ndoto yako itimie. Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye bado hujapata mwelekeo wa Maisha yako. Utapata mwongozo kwa ajili ya kujitambua. Unapata Nini kwenye Kitabu? Utafahamu Umuhimu wa Maono kwenye Maisha yako. Utafahamu maswali 8 ambayo unapaswa kujiuliza na majibu yake ili uweze kusonga mbele.…

KITABU; Mbinu 101 za Mafanikio. – Jacob Mushi

KITABU; Mbinu 101 za Mafanikio. – Jacob Mushi

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa makala ninazoandika kila siku za HATUA ZA MAFANIKIO. Nimechambua makala 101 ambazo ukizisoma zinaweza kukupa mbinu na maarifa ya kukuwezesha usonge mbele zaidi kwenye kile unachokifanya. Kitabu hiki cha Mbinu za 101 za Mafanikio Kimejumuisha , Mbinu za Maisha na mafanikio, sms za mafanikio, siri ya mafanikio katika biashara, nguzo za mafanikio katika Maisha, siri ya mafanikio…

468; Watu Sahihi, Watu Wazuri.

Kwenye Maisha tunawahitaji watu sahihi. Watu Sahihi sio lazima wawe Wazuri kwetu wanaweza kuwa watu wabaya lakini ni sahihi. Kusudi la hao watu kwenye maisha yetu ndio litaamua usahihi wao. Unaweza kukutana na mtu anakuchukia bila sababu halafu kwa kukuchukia kwake kukawa sababu ya wewe kusonga mbele Zaidi. Kuna watu wakikupenda ndio wanakuharibu, badala ya…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓