Nguvu ya Ulimi.

Wanasema Ulimi ni kiungo kidogo sana lakini kinaweza kufanya mambo makubwa. Ulimi unaweza kuvunja ndoa yako. Ulimi unaweza kukukosanisha na ndugu jamaa na marafiki. Ulimi unaweza kukupeleka jela. Ulimi unaweza kujenga mahusiano mazuri na watu. Ulimi unaweza kukupatia kazi nzuri sana. Ulimi unaweza kubadilisha maisha yako Leo. Unatumiaje kiungo hiki ili kupata manufaa zaidi kwenye…

Hatua za kuchukua kila siku ili kufikia ndoto na malengo yako.

Tumejifunza kuhusu mafanikio na utajiri lakini hivi havitatokea kama huna vitu ambavyo unavifanya kila siku vinavyokuvuta kwenye mafanikio na utajiri. Leo tunakwend kuangalia mambo kadhaa ya kufanya ili ufikie kwenye kilele cha mafanikio. 1.  Jifunze vitu chanya vitakavyokuza ufahamu wako kila siku angalau kwa dakika 30. Angalau kwa siku tenga muda wa dakika 30 wa…

Hatua 7 za kujiletea mafanikio na kufikia utajiri.

Habari za leo rafiki yangu unaendelea vyema na mapambano ya maisha? Leo tunakwenda kujifunza Hatua mbalimbali za kuleta mafanikio katika maisha yetu na hadi kufikia utajiri. Kama tunavyojua kila kitu kinaanza kwa vitendo na kisha vitendo hugeuka kua tabia ukiweza kufanya kwa vitendo mambo haya ya leo utaweza kufikia utajiri. Cha muhimu ni kutambua kwamba…

Chagua Kulalamika/Kulaumu au Kuchukua Hatua.

Kwenye jambo lolote baya linalotokea kwenye maisha yako unaweza kuchagua kulalamika au Kuchukua Hatua. Unaweza kuchagua wa kumlaumu, unaweza kujieleza sana jinsi ulivyo sahihi jinsi ambavyo wewe hujakosea au kuamua kukubali yaishe ili mambo mengine yaendelee. Lawama hazibadili chochote. Lawama haziondoi ukweli. Lawama hazifanyi uonekane wewe hukukosea. Hata ukiweza kulalamika vya kutosha hakuna kitakachobadilika. Kama…

Nguvu ya maamuzi tuliyonayo na inayoamua juu ya maisha yetu.

Kila mwanadamu ana maamuzi ya mwisho juu chochote anachokiwaza na maamuzi anayoyachukua. Yaani kama umeamua kuamka saa kumi na moja ni wewe mwenyewe unaamua kutokuamka au la hakuna mtu mwingine anaweza kuja kukufanya uamue kuendelea kulala au kuamka ni wewe unakua na maamuzi yote hata kama mtu atakuja kukuamsha kwa nguvu bado una maamuzi ya…

Umechagua Nini?

Kila kitu kina kinyume chake hapa duniani, kila kitu kina pande mbili wewe umechagua upande upi? Umechagua kua wapi? Kuna Umaskini na Utajiri, kuna furaha na huzuni, wingi na uchache, kukosa na kupata, Kila unachokipitia sasa hivi kina pande mbili na upande uliopo umechagua mwenyewe inawezekana kwa kujua au bila kujua. Kwanini uchague upande mbaya…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓