Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Kwenye mtihani shuleni tulikuwa tunaambiwa yale maswali ambayo unayaweza ndio unatakiwa…
All posts in USIISHIE NJIANI
BARUA YA WAZI KWA WOTE WANAOISHI BILA YA MZAZI MMOJA AU WOTE.
Habari Rafiki yangu, leo tena nimeandika barua hii maalumu kwa watu wote wasio na wazazi na pia wenye mzazi mmoja. Ni kwa ajili ya kukutia moyo ili uweze kusonga mbele na kutimiza Ndoto yako. Unaweza kutuma Makala hii kwa Rafiki yako ambaye unafikiri akiisoma itamtia moyo na ataweza kusonga mbele. Kwa waliopoteza wazazi kwasababu mbalimbali,…
#HEKIMA YA LEO: Kuwa Sehemu Ya Tukio.
Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Kuna msemo usisubiri embe chini ya mnazi. Yaani kile unachokitaka siku…
#HEKIMA YA JIONI: Mtazamo Wako ndio Unaamua Ugumu au Urahisi wa Kitu.
Mtazamo ni vile ambavyo mtu amejengewa au amejijengea maana fulani au imani fulani juu ya jambo fulani. Mtazamo waweza kutengenezwa kutokana na mazingira unayoishi vitu unavyosoma, kutazama na kufuatilia. Mtazamo pia unaweza kutengenezwa na aina ya watu unaojihusisha nao kila siku. Mfano unakaa na watu ambao wanasema hawawezi kuuza bidhaa kwa kumfata mtu na kunwelezea…
#HEKIMA YA JIONI: Kutazama Miguuni Ili Usijikwae Kunaweza Kukupoteza Unapoelekea
Uking’atwa na nyoka wakati mwingine ukiguswa na majani tu unaweza kushtuka na kudhani ni nyoka tena. Inapotokea umepatwa na changamoto uanatakiwa usikubali ziwe sababu ya wewe kuendelea kutembea ukiwa na umakini wa hali ya juu kiasi kwamba ukasahau kutazama kule unakotaka kufika. Unaweza kuingia kwenye biashara ukapata hasara kubwa kiasi kwamba ukaishia kuwa mtu…
#HEKIMA YA JIONI: Kama Huna Uhakika Usiseme.
Wanadamu tumezoea kuongea sana, hasa kwa maneno tunayoyasikia kwa wengine. Ukweli ni kwamba maneno mengi ambayo tunaambiwa na wengine hatuna uhakika nayo kwa 100%. Hivyo basi lolote unaloambiwa juu ya mtu kama huna uhakika baki nalo moyoni mwako. Mara zote penda kujiuliza ni faida gani utaipata kwa kusema hayo maneno. Kama hakuna faida ambayo unapata…