#HEKIMA YA LEO: Wakati Mwingine Jifunze Kuyatazama Mambo Jinsi Yalivyo Kwanza…

Ni vyema kuelewa kwamba kuna tofauti ya kuwa chanya kwenye mambo na kupotezea ukweli halisi wa jambo lenyewe. Kuna nyakati ili uweze kutatua mambo kwenye maisha yako inakupasa uanze kuyaelewa hayo mambo yakoje. Mfano una matatizo kwenye familia yako hata ukiwa chanya kivipi, na ukaweza kuyaona hayo matatizo sio kitu hakubadilishi ukweli kwamba hayo ni…

#HEKIMA YA LEO: Kipimo Cha Ukomavu.

Kipimo cha Ukomavu wako kinatokea pale ambapo unatakiwa uwatendee mema watu ambao hawastahili kabisa katika akili za kibinadamu.  Watu wengi hushindwa mtihani huu. Kuwa mwema hata kwa Waliokuumiza sana. Waliokusaliti kwenye mambo makubwa. Wabaya wako ambao ulisema hutakaa uwasamehe kabisa. Hawa watu mara nyingi wanapokuja kwetu kutuomba msaada tunaweza kuwatendea ubaya kama malipo. Lakini kwa…

#HEKIMA YA LEO: Kama Hufurahi Wewe Huishi.

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Maisha ni kufurahi, haina maana kwamba utakuwa unapitia mambo ya kukufanya…

#HEKIMA YA LEO: Njia Rahisi Inaweza Kugeuka Kuwa Ngumu Sana.

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Watu wengi hutafuta njia rahisi za kufanya mambo yao, sasa tatizo…

#HEKIMA YA LEO: Jenga Mtazamo Wa Ushindi.

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Mambo mengine yanakuwa magumu kwasababu mtazamo wako unavuta ugumu. Inakupasa kutengeneza…

#HEKIMA YA LEO: Usibadilike Kwa Ajili Ya Mtu.

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Mojawapo ya watu ambao wanaishi kwa mateso duniani na huzuni ya…