Ukijifanya unajua, unakuwa mpumbavu. Maana kujifunza ni kama pumzi ukishavuta lazima utoe iliyochafuka kisha uvute tena. Ukikubali kuwa mwanafunzi ndio utaona sehemu nyingi ulizokuwa unakosea. Pia Utagundua kwamba bado kuna mambo mengi hujui. Ukikubali kufundishwa unatakiwa ukubali pia kukosolewa. Unapokuwa na Mwalimu wako akakwambia hapo umefanya vibaya kubali usichukie ili uweze kujifunza zaidi. Wanadamu tunapenda…
All posts in USIISHIE NJIANI
#HEKIMA YA LEO: Kimbizana Na Ndoto Zako.
Hello, Unatumia Mtandao wa Instagram? Bonyeza hapa uni follow ili upate madini ninayoweka kila siku… http://www.instagram.com/jacobmushi Wakati wengine wanakimbizana na fasheni mpya wewe Kimbizana na ndoto yako. Wakati kila mmoja anataka kujionyesha kwa watu, wewe onyesha ndoto zako. Wakati wengine wanakimbizana na matukio wewe Kimbizana na bidhaa zako. Acha kufuata mkumbo, maisha yako sio ya…
#HEKIMA YA LEO: Tafuta Kawaida Nyingine Kila Wakati.
Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Tafuta kawaida nyingine kabla hiyo uliyoipata hujaizoea. Mwanzoni unaweza kuona kuna ugumu wa kutimiza jambo Fulani lakini ukishalitimiza unaanza kugundua kumbe ilikuwa ni hivi. Mtoto anapoweza kutambaa hatakiwi kubakia kwenye kutambaa yaani akishazoea tu kutambaa basi anatakiwa aanze kujifunza kusimama na kisha kutembea na kukimbia…
#HEKIMA YA LEO: Unamwangalia Nani?
Kila mmoja wetu kutokana na anachokifanya kuna mtu aliefanikiwa zaidi yake. Ni muhimu sana kujua unaemtazama na ni vitu gani unajifunza kwake. Hakuna mtu ambaye atakuwa anaenda tu bila kuwa na mtu anaemwangalia. Unapaswa kujifunza sana ujue ni mbinu gani wanatumia hadi wanapata matokeo makubwa. Usikubali kubaki kama mtu asiye na mwelekeo wa maisha. Wapo…
#HEKIMA YA LEO: Unyenyekevu Utakulinda.
Unawafahamu watu ambao wakiwa na shida wanakuja kwako kwa upole wakinyenyekea sana. Lakini wakishapata wanasahau na kuanza kuonyesha tabia zao halisi. Wako watu wa aina hii wengi kwenye jamii yetu. Wakiwa chini wanakuwa wanyenyekevu na wapole sana. Wakipata fedha au cheo utaanza kujua tabia zao za kweli. Rafiki yangu nakuomba usiwe mmoja watu wa aina…
Offa Offa Offa, Ya Vitabu Bora Mwezi April.
Offa Hii Imekwisha muda wake. Unaweza kupata vitabu kwa bei za kawaida hapa.. https://jacobmushi.co.tz/patavitabu/