Linda ndoto yako:

Mojawapo ya vitu ambavyo huwarudisha nyuma na kuwafanya wakate tamaa haraka ni kukosa ndoto au kukata tamaa kwenye ndoto zao. Ndoto ni nini? Ndoto ninayoizungumzia sio ile unaota ukiwa umelala bali ni ile ambayo inakufanya usilale. Kila mtu ana ndoto ya aina yake na za aina mbalimbali mfano unaweza kua na ndoto ya kuishi kwenye…

Ushindi ni lazima kwako amua hivyo na anza kupambana.

Haijalishi unapitia hali gani sasa hivi wewe ni mshindi vita bado haijaisha mapambano bado hayajaisha endelea kupambana mpaka mwisho. Haijalishi umelala njaa jana sio  mwisho wa mapambano endelea kupambana tafuta njia nyingine mpya lakini utazamie kufika mwisho uleule. Haijalishi huna nini sasa hivi lakini bado inawezekana wewe kushinda nikupe moyo kwa yale unayoyapitia inawezekana ni…

Jinsi ya Kuishinda Tabia ya Kuahirisha mambo.

Tabia moja ambayo inawarudisha wengi nyuma ni tabia ya kuahirisha mambo. Na kuahirisha ipo karibia kila sehemu kuajiriwa, kujiajiri, mambo yako binafsi, karibia kila mahali tabia hii inaingia na imewasababishia watu wengi sana wabaki vile walivyo kwa sababu ya kuahirisha. Umekutana na fursa nzuri sana ikakuhamasisha ukirudi nyumbani yanaanza kukujia mawazo “kwanza sio lazima nianze…

Chagua kulipa gharama sasa hivi au uje ulipe baadae

Kwenye maisha yako chochote kinachoendelea sasa hivi kilisababishwa na mambo uliyoyafanya huko nyuma.  Yawe mabaya au mazuri unahusika kwa kiasi kikubwa kwa kinachoendelea sasa. Kama ni hivyo basi kwa chochote unachokifanya sasa kitaleta matokeo baadae jiulize unafanya nini sasa hivi na unatarajia matokeo gani baadae?  Kama unataka mambo makubwa Kwenye maisha yako anza sasa kulipia…

Upo tayari kupoteza ulivyonavyo upate vingine?

Rafiki yangu mpendwa ni kwamba kwa chochote kizuri unachokitaka kwenye hii dunia lazima ulipe gharama, kwenye gharama watu hua wanakimbia. Ukitaka mafanikio makubwa kuna vitu inakubidi uviache. Ukae mbali navyo.  Upo tayari kupoteza marafiki zako ulionao sasa hivi ili uweze kwenda hatua nyingine kuna watu inakubidi uwaache nyuma, upunguze ukaribu wako na wao, sikwambii muwe…

Subscribe