KWANINI USOME KITABU CHA SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO? (Maoni ya Wasomaji)

Habri rafiki, ni furaha yangu kuona bado unaendelea kufuatilia mtandao huu ili kujifunza. Nikupongeze kwa bidi yako hii katika kujifunza ipo siku itakuletea matunda. Ni kama mbegu unazopanda shambani lazima uzipe muda ndipo zitaanza kuchanua. Huwezi kupanda miti wa mwembe kisha ukaweka mategemeo kama ya mtu aliepanda mahindi. Wewe wa mwembe itakuchukua muda mrefu sana…

HATUA YA 244: Tenda Wema Nenda Zako.

Ubinafsi ni kile kitendo cha kutaka kupata wewe peke yako na wengine wakose. Kitendo cha kutokujali wengine na kujifikiria wewe mwenyewe. Kujitoa kwa ajili ya wengine ni kitendo cha kuwa tayari kugawana kile unachokipata na wengine au wakati mwingine kuwa tayari kukosa ili wengine wapate. Kama wewe ni mtazamaji wa picha za kivita unaweza kuwa…

HATUA YA 243: Ukichunguza sana Hutafanya.

Kama kuna kitu umeamua kukifanya unachotakiwa ni kuchukua hatua sasa na kuanza. Mara nyingi wengi wanasema nitaanza tu, lakini baada ya muda ukimuuliza vipi ile biashara umeanza? Umeshaanza kufanya kile kitu? Watakwambia hapana.   Unapotumia muda mwingi kukichunguza kitu utaanza kupata hofu na hofu itakuzuia wewe kuanza kuchukua hatua. Unapochunguza sana utaanza kuona kutokuwezekana na…

HATUA YA 240: Tatizo Lipo Ndani Yako.

Nimekutana na watu wenye uwezo mdogo, wana kiwango kidogo lakini wanafanya mambo makubwa sana. Wapo ambao hawana elimu kubwa uliyonayo wewe lakini wamefika mbali sana. Kuna wengine hawana wazazi wazuri kama wako lakini wamepiga hatua kubwa sana. Kinachokufanya ubaki hapo ulipo ni wewe mwenyewe. Unajiona kwamba huwezi, unaogopa changamoto ambazo utapitia njiani.   Ni kweli…

HATUA YA 239: UKipewa Nafasi Ya Kurudi Nyuma Utarekebisha Wapi?

Swali moja ambalo napenda kuwauliza watu ambao wako mbele Zaidi yangu kwenye mafanikio katika Nyanja zote, kiafya, kiroho, kimahusiano na pia kifedha au kwenye biashara ni “ Endapo ikatokea Umerudi nyuma kabisa ukatakiwa uanze upya kile unachokifanya sasa hivi, ni vitu gani hutavifanya kabisa ma ni vitu gani utawekea mkazo Zaidi kuliko vingine?” Swali hili…