Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kile unachokitarajia ndio kinatokea kwenye Maisha yako. hii ni sharia ya asili ambayo inaongoza maisah yetu. Kama unataka chochote na tayari umeshajenga picha kubwa ndani yako. Tayari umeshaanza kuifanyia kazi picha hiyo kubwa anza kutarajia matokeo makubwa. Ondoa wasiwasi juu ya kile unachokitaka. Anza kujitabiria na…
All posts in USIISHIE NJIANI
USIISHIE NJIANI: Siri Ya Mafanikio (Hakuna Mwendokasi)
Kitu chochote kinachopatikana haraka hasa kitu kikubwa sana mara nyingi yule anaekipata hushindwa kukihimili. Hasa tukiangalia upande wa fedha na utajiri tunaweza kuwa na mifano mingi sana ya watu ambao walipata fedha nyingi ndani ya muda mfupi na wakaishia kuwa maskini kama zamani. Unajua mafanikio ni sawa na mtu anaepanda juu kwenye kilele cha mlima.…
#USIISHIE_NJIANI: VIGEZO NA MASHARTI
Habari ya asubuhi Mwanamafanikio. Tumeanza tena wiki siku ya leo. Hakikisha umeipanga wiki yako ili uweze kuwa na matokeo bora. Jua ni vitu gani unakwenda kukamilisha wiki hii kbala haijaanza panga ratiba zako vizuri la sivyo watu wengine watakuja na ratiba zao na wewe utaingia humo. Mwisho wa siku mambo yako yanakuwa hayaendi. Nadhani kila…
#USIISHIE_NJIANI: UNATAKA KUJA KUWA NANI?
Habari za Asubuhi Rafiki. Hili swali kama unakumbuka ulikuwa unaulizwa ukiwa mdogo. Na mara nyingi watu wengi walikuwa wanachagua vitu ambavyo wataweza kuvisomea chou kikuu. Sasa makossa uliyokuwa unayafanya bila ya kujua ni kwamba ulisahau kuna vitu vingi ambavyo ungeweza kuwa hata bila ya kuvisomea shule. Kama unakumbuka ni wachache sana walikuwa wanachagua kuwa matajiri.…
#USIISHIE_NJIANI: TAFUTA UTAMBULISHO WAKO.
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kitu gani kinakutambulisha hapa duniani? Kama mpaka sasa unashindwa kujibu swali hili unahitaji msaada wa karibu sana. Kama binadamu unatakiwa uwe na kitu ambacho ni utambulisho wako wewe binafsi kwenye dunia hii. Utambulisho wako ni kile kitu ulichoamua kukifanya hapa duniani hadi unakufa. Unamkumbuka msaani wa…
#USIISHIE_NJIANI: BINADAMU NDIVYO WALIVYO.
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kama utakumbuka ulipokuwa mtoto mdogo kuna mambo kutokana na utoto wako ulikuwa unapenda kujaribu sana. Kama ulikuwa mtundu sana, unaweza kupanda madirishani, mara umepanda juu ya mti. Unataka kuwasha taa, na mengine mengi. Kwa kawaida unapofanya jambo la tofauti wazazi au wakubwa zako watakwambia acha, utaumia,…