#USIISHIE_NJIANI: UTAONDOKA PEKE YAKO.

Habari rafiki. Kitu ambacho hupaswi kukisahau ni kwamba hapa duniani ipo siku utaondoka. Na kitu cha kukumbuka Zaidi ni kwamba utaondoka peke yako. Wale wote uliokuwa unawaonea aibu, unaona kwamba watakusema vibaya, wataona umejishusha hadhi kwa kufanya kile unachokitaka hutaondoka nao. Inawezekana ukawaacha duniani au wakakutangulia. Sasa nikwambie rafiki hii ni dunia kila mmoja alikuja…

#USIISHIE_NJIANI: JIPE MUDA.

Habari Rafiki. Chochote unachokifanya sasa hivi kabla hujaanza kukata tamaa hakikisha umejipa muda wa kutosha. Jipe muda ambao utafanya kazi kwa bidi, utajenga mtandao mkubwa wa watu wanaofahamu unachokifanya. Jipe muda wa kujifunza na kuona kule unakotaka kufika. Shida kubwa ipo kwa watu wasio na maono makubwa wanataka pesa za haraka. Unaanza biashara au wazo…

USIISHIE NJIANI: USIJIDANGANYE.

Habari rafik Mfano unajua kabisa yale ambayo unayafanya hayawezi kukuletea matokeo ya tofauti kwasababu ni yaleyale, njia ni zilezile, halafu unajitia moyo kwamba ipo siku utafanikiwa. Unajua kabisa unaogopa kufanya vitu vipya, husomi vitabu, hujaongeza chochote kwenye akili yako halafu unasema ipo siku yatatokeo, huo ni uongo, unajidanganya mwenyewe. Angalia matendo yako ya jana kama…

#USIISHIE_NJIANI: HOFU YA KUTOKUJUA.

Habari rafiki, siku yako umeanzaje. Siku zote mtu anakosa ujasiri hasa pale anapokuwa na taarifa chache kwenye kile anachokifanya. Mfano unaweza kuogopa kuanza biashara kwasababu tu ya kutofahamu mambo ya muhimu juu ya  biashara. Ili uweze kuishinda hofu hii unapaswa kujifunza vitu Zaidi kwenye kile ulichoamua kukifanya. Hii itakusaidia wewe kuwa na taarifa za kutosha…

#USIISHIE_NJIANI: ANZA KUONA NDANI YAKO.

Habari rafiki yangu, Siku yako umeanzaj Hakuna kitu utakachokipata kama hujaanza kukiona ndani yako. vitu vyote vinavyotokea nje lazima vinaanzia ndani. Ukiwa na mawazo ya kupata pikipiki haliwezi kutokea gari, kwanza juhudi zako zote zitakuwa ni za pikipiki sio za gari. Usitegemee kupata Zaidi ya kile ulichokiona. Ni vyema sana chochote unachotaka kufanya ukaanza kutengeneza…

#USIISHIE_NJIANI: LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA.

Habari rafiki, umeanzaje siku yako. Leo ni siku yetu mpya kwa ajili ya uzalishaji. Kuna watu wana tabia za kuacha kufanya mambo yao, hawaweki mipango yeyote ya Maisha yao wanabaki kusema lolote linaweza kutokea. Umemaliza chuo badala a kungoja lolote linaloweza kutokea ndio likupangie Maisha yako yaende vipi anza kujipanga mwenyewe mapema. Hakuna lolote linaloweza…