Maisha yako ni shule ambayo wengine watakuja kujifunza siku sio nyingi. Ulivyoishi maisha yako ndio itaamua uwe shule ya watu wengi kiasi gani. Kila ambacho unakifanya kila siku jiulize unakuja kuacha darasa la namna gani kwa wengine? Ukitenda mabaya utakuwa mfano mbaya, ukiweza kufikia ushindi wako utakuwa mfano wa kuigwa. Moja ya jukumu unalopaswa kujipa…
All posts in USIISHIE NJIANI
Jifunze Kwa Mtoto
Kuna nyakati kwenye maisha tunapitia hali ambazo zinatulazimisha kufanya mambo tusiyohitaji ila ni kwasababu tunaisikiliza mili yetu. Sio kila hali ambayo unaisikia kwenye mwili wako inahitaji kufanyiwa kazi. Ukiwa na mtoto mdogo utaweza kuniambia kwamba sio kila anacholilia mtoto unampatia. Mfano anatakiwa kulala na yeye anataka kwenda kucheza huwezi tu kumruhusu kwasababu ametaka. Anatakiwa kula chakula akalilia…
Msamiati Huu Unatakiwa Uufute Kichwani Ili uweze Kutoka.
Kuna wimbo ambao umekuwa unaimbwa na watu wengi sana hasa linapokuja swali ni kwanini hujaweza kuanza biashara au kile ambacho unataka kufanya. Wimbo huu umekuwa ndio kikwazo kikubwa cha wengi kiasi kwamba wanabaki pale pale walipo siku zote. Sina Mtaji ni neon ambalo kama kweli una nia na mafanikio basi hutakiwi kulitamka mdomoni mwako tena…
Ni Nini CHanzo cha Ndoto Zako?
Heri ya Mwaka Mpya Rafiki, Wakati tumeanza leo mwaka mpya napenda ujiulize swali moja la muhimu sana. Je ni nini chanzo cha ndoto zako? Unafahamu ndoto zako zimetoka wapi? Kuna wengine ndoto zao zimetokana na kukataliwa, kuachwa, kuonekana hawawezi na kadhalika. Maisha yao yote wanapambana ili siku moja waje wawaonyeshe wale waliosema hawawezi kwamba wanaweza.…
WEWE NI NYOTA.
“Wewe ni nyota popote pale ulipo hakikisha unang’ara” Jacob Mushi 2018. Mwaka huu haijalishi upo sehemu gani unafanya kazi ya aina gani bado unahitajika kuonyesha kile kilichopo ndani yako. Haijalishi unaishi Maisha ya hali gani bado unatakiwa kuendelea kuonyesha kwamba wewe ni wa thamani. Dhahabu ikitupwa kwenye takataka bado inaendelea kubakia ni dhahabu. Haibadilishwi na…
Unapanda Mbegu Gani?
Maneno yetu tunayosema mbele za watu ni mbegu, ipo siku yataleta matokeo. Vile unavyozungumza mbele za watu ndivyo watu wanatafsiri kuwa uko hivyo. Kama maneno ni mbegu basi unavyoyapanda mioyoni mwa watu tegemea matokeo yake siku moja. Hakuna mbegu ambayo haioti kama imetupwa kwenye udongo ikapata na maji. Chunga sana unavyoropoka mbele za watu maneno…