Hatuhitaji watu wengi wanaoweza kulielezea jambo Fulani vizuri bali tunahitaji watu wachache wanaoweza kuchukua Hatua juu ya jambo husika. Tuna upungufu wa watu wanaochukua Hatua ndio maana hatuna maendeleo. Badala ya kuendelea kuongea maneno matupu fanya kile kilichopo kwenye uwezo wako kwanza. Kwa kupitia hicho ndio utaona uwezekano wa kufanya makubwa Zaidi. Tuna wengi…
All posts in USIISHIE NJIANI
Utakula matunda ya kinywa Chako.
Maneno yako yanajenga vitu kwenye maisha yako, hata kama hutaona matokeo yake kwa muda huu ipo siku yataonekana hata ikiwa umeshasahau. Ni vyema sana kujitazama sana kile uanchokiongea kinaweza kuleta matokeo gani kwenye maisha yako na kwa wengine. Sio kila neno ni la kutamka, sio kila jambo ni la kuchangia unaweza kujikuta unajichimbia shimo mwenyewe.…
#HEKIMA YA JIONI: Kusudi la Mungu na Kusudi La Mwanadamu.
Mungu ametuumba na akatuleta duniani kwa makusudi yake yeye mwenyewe. Pamoja na hayo bado kuna watu ambao hawajaweza kutambua makusudi ya wao kuwepo hapa duniani. Niliwahi kusema kwamba chanzo cha maovu mengi yanayoendelea hapa duniani ni kutokana na watu wengi kuishi Maisha ambayo sio ya kwao yaani kutokutambua kwanini wapo hapa duniani. Mungu hajakuumba uje…
#HEKIMA YA JIONI: Fanya Mabadiliko ya Kudumu.
“If you want to make a permanent change, stop focusing on the size of your problems and start focusing on the size of you!” T. Harv Eker Harv Eker Mwandishi wa Kitabu cha The Secret on the Millionaire Mind anasema ukitaka kuleta mabadiliko ya kudumu acha kutumia nguvu nyingi kwenye ukubwa wa matatizo yako na…
#HEKIMA YA JIONI: Aina Mbili Za Wakatishaji Tamaa.
Unapokuwa na Ndoto kubwa na shauku ya kwenda kuitimiza kuna watu wengi sana wanaweza kujitokeza kwenye Maisha yako kama washauri na wenye maoni yao juu ya kile unachotaka kufanya. Watu hawa wanaweza kuwa marafiki wa karibu na ndugu zako wa damu kabisa. Wote hawa wanaweza kutoa maoni yao juu ya kile unachokifanya kwa namna mbalimbali.…
#HEKIMA YA JIONI: ISHI KWA KUJIAMINI.
Usiwaweke wengine juu kwa yale mazuri waliyonayo na wewe ukajiweka chini. Hata wewe una vitu vizuri pia ndani yako. Usijisikie vibaya kwa kuona zile zawadi zilizoko kwa wengine ukasahau kwamba na wewe pia una zawadi nyingi ndani yako. Una vipaji ndani yako, Mungu amekuumba uweze kutumia vitu hivyo hapa duniani. Usijiweke chini kwasababu unawaona wengine…