Katika Biblia vitabu vya Injili tunamwona Bwana Yesu akitenda miujiza kwa kuwaponya vipofu, viwete,na wenye madhaifu ya aina mbalimbali. Siku moja mwanamke alietokwa na damu kwamiaka 12 alipoamua kwenda kulishika vazi la Yesu akiamini kwamba ataponaalipona kweli. Yesu akamwambia Imani yako imekuponya. Ni kweli Imani yake NdioIlimponya. Tukiangalia nyuma kabla hajaamua kwenda kumshika Yesu alikuwa…
All posts in MAISHA NA MAHUSIANO
408; Utaweza Kuvumilia?
Inawezekana unayatazama Maisha ya watu waliofanikiwa na kujikuta unatamani sana kuishi kama wao na kujiona wewe unaishi Maisha ambayo ni duni sana. Ukweli ni kwamba kuna ambao wanatamani wangekuwa na Maisha ya kawaida kama yako kwasababu ya changamoto kubwa wanazokutana nazo sehemu ambazo wapo. Kama unafikiri utaweza kuvumilia kuandikwa vibaya kwenye magazeti kwa habari ambayo…
407; Naomba Nikukumbushe tena Hili.
Yapo mambo ambayo ni msingi wa Maisha bora ya kila mwanadamu, kama ukiweza kuyafanyia kazi vizuri utaishi kwa furaha na amani hapa duniani siku zote. Ni kweli yapo mambo mengi mabaya yanatokea bila sisi kujua na tunakuwa hatuna uwezo wa kuzuia lakini ukiweza kufuata hii misingi utaweza kuwa na Maisha bora. Mambo haya ndio yanayofanya…
406; Ni rahisi Sana Kuanza, Tabu Ipo Hapa.
Watu wamekuwa wanasema mwanzo ni mgumu ni kweli kuna baadhi ya mambo mwanzo ni mgumu. Ila bado kuna mambo ambayo ni rahisi sana kuanza ila kumaliza vile ambavyo unataka ndio imekuwa changamoto ya wengi. Unaweza kuwa na mawazo makubwa na mipango mikubwa wakati unaanza mwaka lakini unapofika mwisho unajikuta hujafanya hata robo ya kile ambacho…
405; Sio Lazima Ufanane Nao
Furaha itakuja pale ambapo utaanza kuishi Maisha ambayo moyo wako unataka na sio vile ambavyo watu wanataka uishi. Furaha ya kweli ipo ndani yako na utaweza kuipata kwa kuishi kile ambacho Mungu ameweka ndani yako. Hakuna haja ya kuishi Maisha vile ambavyo jamii inakulazimisha wewe uishi, vile jamii ambavyo imetengeneza na kutoa maana ya Maisha.…
404; Ni Wachache Sana Wanaweza Kujibu Swali Hili.
Ukimuuliza mtu akutajie mambo 3 ya muhimu sana kwenye Maisha yake ni wachache wataweza kukujibu kwa usahihi nikiwa na maana kwamba walikuwa wanayajua kabla hujawauliza. Ni rahisi mtu kujibu kwa kutamka kile ambacho kitamjia kichwani kwa wakati huo lakini ukweli ni kwamba utakuta hafanyi chochote katika hayo aliyosema ni ya muhimu kwenye Maisha yake. Embu…