Habari rafiki na msomaji wa blogu hii. Jumapili yako imekwendaje? Leo tunakutana tena katika kona hii ya kujifunza. Nimekuandalia mambo 20 ambayo unapaswa kuyafahamu wewe kijana. Jifunze na uyafanyie kazi. Usisahau kujiunga na blog hii ili uendelee kujifuza Zaidi. Kwanza tambua kwamba miaka 15 ijayo utakuwa na watoto ambao watakuwa wanakulaumu na kukulalamikia kwa hatua…
All posts in MAFANIKIO MAKUBWA
MBINU ZITAKAZOKUWEZESHA KUMILIKI MAISHA YAKO.
Kama maisha yako yanategemea 90% kutoka kwenye ajira bosi wako ameyadhibiti maisha yako. Unaweza kukuta mtu unapitia vitendo vya unyanyasaji kazini, wakati mwingine huipendi kazi yako, inakubidi ubakie hapo hapo ulipo kwasababu hiyo kazi imekuwa kama maisha yako. Yaani bila hiyo kazi maisha yako yanakuwa sehemu mbaya sana. Kama maisha yako yanategemea mzazi zaidi ya…
UJUMBE WANGU KWAKO KIJANA MWENZANGU
Vijana ndio tegemeo kubwa katika sehemu mbalimbali za kijamii, kidini, n ahata pia kisiasa. Kwenye serikali tuna maaskari polisi wengi ambao ni vijana pamoja na wanajeshi. Dini zetu pia zinahitaji vijana Zaidi kwasababu ndio pekee wenye nguvu kuliko wazee na watoto. Vijana pekee ndio wanaweza kufanya mambo makubwa na yakaleta matokeo makubwa. Vijana ndio wanahusika…
SIMAMIA UNACHOKIAMINI
Desmond Thomas Doss (February 7, 1919 – March 23, 2006) Alizaliwa nchini Marekani Virginia Alikuwa ni mwanajeshi aliepigana vita ya pili ya dunia. Katika Maisha yake alijiwekea ahadi kwamba kamwe hatashika bunduki hii ni kutokana na Imani yake kwamba kushika bunduki ni sawa na kuua. Alipata upinzani mkubwa sana kwenye kambi ya jeshi wakati anafanya mazoezi na ilikuwa…
VITU MBALIMBALI VYA KUFANYA ILI UWE NA UHURU WA KIFEDHA
Habari rafiki, kwenye maisha ya sasa ili uweze kuishi maisha yale ambayo unayotaka kwa zaidi ya 50% lazima uwe na njia mbalimbali za kukuingizia kipato. Usikubali kutegemea njia moja ya kukuingizia kipato. Hata kama sasa unategemea njia moja anza mpango wa kutengeneza njia nyingine kwa ajili ya vipato. Biashara nyingi kubwa zinaweza kujiendesha zenyewe na…
Mambo uliyokuwa huyajui Kuhusu Ajira
Habari za Leo Msomaji wetu. Tunakwenda kuzungumzia kwa kifupi juu ya ajira na waajiriwa na jinsi ya kujitoa kwenye kongwa hili. Ni kweli tunategemeana katika maisha yetu mwenye biashara anategemea wafanyakazi ili aweze kukuza zaidi biashara yake. Lakini bado hiyo haitakiwi kuwa sababu ya wewe kutofanya kitu kingine na kubakia unategemea mshahara peke yake. Mabadiliko…