HATUA YA 351: Ukianza Kuona Una Sababu Nyingi…

Mwanadamu siku zote hapendi aonekane anahusika na makossa yake mwenyewe. Na inapotokea amekosea au ameshindwa jambo Fulani anatafuta mtu wa kumbebesha yale makossa yake. Tangu mwanzo wa kuumbwa kwa dunia tunaona Adamu na Hawa walipopatikana na kosa la kula tunda la mti walioagizwa wasile kila mmoja alianza kutoa sababu za kwanini alifanya vile. Adamu ambaye…

HATUA YA 350: Kama una Imani ya Aina Hii Utapata Tabu Sana.

Imani huja kwa kusikia, tunasikia vitu vingi sana tunavyovihitaji na tusivyovihitaji kabisa kwenye maisha yetu. Kile unachokipa nafasi ya kukisikia zaidi kinajenga imani ndani yako. Kama unafuatilia kufanikiwa, unasikiliza na kusoma mafundisho ya mafanikio unajenga imani katika Mafanikio. Kama utawekeza muda wako katika kufuatilia bahati nasibu, kubeti, kufanikiwa kwa ghafla na imani yako itajengwa huko.…

HATUA YA 348: Hii Ndio Njia Bora Kupima Mafanikio Yako.

Mara nyingi tumekuwa tunafanya mambo kwasababu ya mifumo tuliyoikuta na kuambiwa ni sahihi lakini si kweli. Ukiwa shuleni mnapewa mtihani mmoja wanafunzi 100 na mnapimwa viwango vyenu vya mafanikio kwa mtihani mmoja. Lakini ukweli ni kwamba unaweza kupata sifuri kwenye mtihani lakini bado kuna jambo jingine unaweza kulifanya vizuri kuliko wale wenzako 99. Inawezekana wewe…