HATUA YA 358: Hiki Ndio Kitu Pekee Kinachopatikana Bila Bidii

Majani yanayojiotea yenyewe kwenye mashamba ambayo hayajapandwa kitu au hata yale yaliyopandwa mar azote huwa ni kwa ajili ya viumbe wengine ambao hawana uwezo wa kujitengenezea chakula chao binafsi. Hii ndio asili na ndio maana popote pale penye udongo mzuri ukipaacha bila ya kupanda chochote patatokea majani ya aina mbalimbali. Wewe kama binadamu ni aina…

HATUA YA 355: Epuka Ugonjwa wa Kutaka Kuwa Sahihi/Kutaka Kueleweka na kila mtu.

Umeshawahi kujikuta unafanya kitu kimoja na hukimalizi kwasababu kila ukikitazama unakiona kama hakijakamilika bado? Umeshakutana na hali ya kutaka kila kitu kiwe kiko sawa ndio uanze kuchukua Hatua? Umepata wazo la kuanzisha biashara unaanza kuogopa “nikianza kabla sijaitengeneza vizuri sana ninaweza nikashindwa.” Au huu wimbo naona bado haujanivutia sana ngoja nirudi studio tena, au hichi…

HATUA YA 354: Usijipe Tafsiri ya Mabaya.

Unaweza kupitia hali mbaya muda mrefu kwenye Maisha yako hadi ukaanza kujiona wewe ni yule mtu ambaye anapitia hali mbaya. Unaweza kuwa umeshindwa kudumu kwenye mahusiano na watu mbalimbali kiasi kwamba ukaanza kujiona wewe ndio uko hivyo yaani wewe haukaagi kwenye mahusiano muda mrefu. Inawezekana pia hadi sasa umeshafanya biashara nyingi na zote zimefeli yaani…

HATUA YA 353: Uko Vile Ambavyo Unajiona.

Haijalishi sana watu wanasema au wanajua wewe ni nani kuliko vile ambavyo wewe binafsi ndani yako unavyoamini. Wapo wengi wanaweza kukusifia au kukuona hufai kama wewe binafsi utakuwa hujioni unafaa yote hayo hayatasaidia. Unapaswa kutengeneza yule mtu ambaye unataka kuwa, andika vile ambavyo unajiona katika mtazamo chanya. Vile ambavyo ungejisikia vizuri Zaidi ukiwa hivyo. Imani…