Kuna mtu mmoja aliniambia Jacob naona mnataka kuwabadilisha watu waanze kufikiri kwamba ugumu wa Maisha yao wameusababisha wenyewe. Mbona kama mnataka kuwadanganya? Kuna vitu vingi sana vinahusika kuyafanya Maisha yawe magumu sio mtu binfsi pekee. Mimi sijakataa hilo lakini nataka ufahamu kwamba pamoja na watu wengine kusababisha ugumu wa Maisha yako, pamoja mifumo mibovu, pamoja…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 363: Wote Tunatazama, Tunatofautiana Kuona.
Tunaweza kutazama mti kwa pamoja lakini kila mmoja akauona kwa mtazamo wake wa tofauti. Kuna ambaye ataona mti kama mti tu, mwingine ataona kuni, mwingine ataona mbao, mwingine ataona matunda, mwingine ataona kivuli. Kile kilichopo ndani yako na uhitaji wako ndio kinafanya uvione vitu katika namna ya tofauti na wengine. Hii ndio maana unaweza kuwapa…
HATUA YA 362: Tabia Yako Ya Halisi Ni Hii Hapa.
Unaweza kukutana na mtu akakufanyia kila jambo zuri na mengine hujawahi kufanyiwa na mtu mwingine yeyote hapa duniani. Utajisikia rah asana na kumuona ni mtu wa kipekee sana kuwahi kutokea kwenye Maisha yako. Endapo wengine wataulizia kuhusu mtu huyo unaweza kumwaga sifa nyingi sana juu yake. Sasa hili ndio nataka ufahamu inawezekana mtu akakutendea kila…
HATUA YA 361: Ushindi Mdogo ni Hamasa ya Kufikia Ushindi Mkubwa.
Vile vitu vidogo vidogo unavyofanya na ukafanikiwa ndio vinakupa hamasa ya kufikika ushindi mkubwa. Kama utakuwa unadharau mambo madogo madogo ni rahisi kwamba huwezi kuyafikia makubwa. Unawezaje sasa kuwa na ushindi mdogo? Siku zote ushindi mdogo huanza asubuhi na mapema. Ukifanikiwa kuamka mapema kabla ya wengine maana yake wewe ni mshindi. Umeshinda usingizi, umefanikiwa kuamka…
HATUA YA 360: Hii Ndio Dawa ya Hofu
Kwenye jambo lolote kubwa au la tofauti na ambalo halijawahi kufanyika na watu wengi mar azote unapotaka kufanya unakuwa na hofu sana. Sio kawaida ya watu kuongea mbele za watu na imekuwa inaonekana wale wanaongea mbele za watu ni wenye akili sana lakini sio kweli unaweza kuwa mjinga lakini ukijiamini vya kutosha unaweza kusimama mbele…
HATUA YA 359: Umeifahamu Malighafi Sahihi?.
Tumekuwa na watu ambao wanapenda vitu ambavyo vipo tayari tayari. Kila wanachokitaka wanataka kiwe tayari kimeshakamilika na wao waanze kutumia tu. Ukweli ni kwamba tangu mwanzo tunaona asili ya vitu vingi ambavyo vinaonekana ni vichache ambavyo vimekuwa vimekamilika. Kila ambacho umekuwa unakitamani au unataka kukimiliki ni lazima ukubali kufuata mchakata wa kutengeneza. Unataka mke/mume mwenye…