Ndugu yangu asikwambie mtu kitu cha muhimu kuliko vyote ni afya yako. Unajua kwanini? Kama afya yako ni mbovu hata upewe kitu gani kizuri huwezi kukifurahia hata kidogo. Kama afya yako ni mbovu hata ukipanda ndege nzuri kuliko zote huku duniani huwezi kufurahia kama mwili wako una maradhi. Dalai Lama aliwahi kusema maneno haya “Man…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 49: HASIRA HASARA
Kwenye Kitabu cha Mithali kuna Mstari unasema Hasira Hukaa Kifuani kwa mpumbavu. Maana yake ni nini Hasa? Maamuzi yeyote yanayofanywa kwa hasira hayajawahi kuwa maamuzi bora hata siku moja. Maneno yote yanayozungumzwa na mtu mwenye hasira hayajawahi kuwa yenye busara hata siku moja. Hasira ni hisia ambazo zinakuja juu sana pale mtu anapoaibishwa, au kufanyiwa…
HATUA YA 48: Huu Ndio Muda Utajutia Kuupoteza.
Muda ndio bidhaa ya thamani kuliko bidhaa ya yeyote hapa duniani. Mtu akikupa kila unachokihitaji kwenye dunia halafu akakunyima muda vyote alivyokupa vinakuwa havina maana. Muda ndio Maisha yetu tunayoishi. Muda ndio Maisha yetu! Naweza kusema Miasha yetu yamefungwa ndani ya muda. Hakuna anaejua anakuwepo hapa duniani kwa muda gani. Wengine wameondoka wakiwa wadogo tukabaki…
HATUA YA 47: Hisia Za Hofu Zinavyokurudisha nyuma.
Katika Kitabu Cha Think and Grow Rich Mwandishi Napoleon Hill (FAITH and FEAR) Where the one is found the other cannot exist) Imani na Hofu, Popote utakapokutana na kimojawapo kingine hakiwezi kuwepo. Kama wewe una hisia za hofu siku zote huwezi kuwa na Imani. Hofu ndio imevunja mahusiano mengi, hofu imewafanya watu waache kuwa na…
HATUA YA 45: HUU NAO NI UTAPELI!
Hii ni siku ya 45 tangu nimeanza kuandika kila siku mfululizo. Ninatarajia kuandika kila siku hadi mwaka huu upite. Naomba tusiishie njiani endelea kujifunza na ufanyie kazi haya unayojifunza. Kwenye jamii zetu tumeaminishwa kwamba utapeli ni pale mtu anapokuuzia sabuni badala ya simu, au anapokuuzia kiwanja ambacho kilishanunuliwa. Vilevile pale unapouzwa mali ya wizi. Lakini…
HATUA YA 44: Unamjua Mteja Wako?
Kabla Ya kumjua mteja ni muhimu pia ukatambua unauza nini? Maana kabla hujauza ni vizuri sana ujue bidhaa yako inakwenda kumgusa nani. Kila binadamu hapa duniani kuna kitu anauza tatizo linakuja pale ambapo mtu hajui kama anauza. Na kama alisikia mahali kwamba anauza basi hajajua anauza nini. Ili uweze kufikia mafanikio makubwa ni vyema utambue…