Kuna sheria nyingi za asili ambazo zinayaongoza maisha yetu kila siku ila wengi wetu tumeshindwa kujua namna ya kuzitumia ili kuwa na maisha bora. Sheria ya uvutano ni mojawapo ya sheria hizi. Kikawaida chuma kinavutwa na chuma mwenzake. Sumaku inavuta chuma haiwezi kuvuta mbao au kitu kisichokuwa na asili ya chuma. Hivyo kwenye maisha yako…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 71: Usikubali Tabia Hii Ikupate….
Mojawapo ya kitu kinchowaponza watu wengi kwenye maisha ni kujisahau. Inafika mahali mtu anazoea hali fulani nzuri hadi anafikiri ameshafika au ameshamaliza kumbe bado safari inaendelea. Hali hii inaweza kuwa kwenye Biashara, Mahusiano, na Maisha kwa ujumla. Tabia ya kujisahau imewafanya watu wengi sana kushindwa kufikia ndoto zao. Tabia hii pia imewafanya watu wengi kuharibu…
HATUA YA 70: Kama bado Una Imani hizi Mafanikio kwako bado sana..
Kama hadi sasa unaamini kwamba waliofanikiwa wana bahati hivyo wewe una bahati mbaya, sahau kabisa kuhusu kufanikiwa. Kwa kusema hivyo tayari umejiwekea vikwazo wewe mwenyewe vya kusonga mbele. Badilisha mtazamo wako ili uweze kusonga mbele. Kama bado hadi sasa una amini katika bahati nasibu au ukutane na dili Fulani likutoe utaendelea kusubiri sana ndugu yangu.…
HATUA YA 69: Jijengee Tabia Hii…
Katika Maisha yetu mambo mengi tunayokutana nayo yakatuhamasisha sana iwe ni biashara au fursa mbalimbali. Au wakati mwingine unaweza kushauriwa jambo Fulani. Kama utakuwa huna tabia ya kufanya sasa siku zote utakuja kuishia kujuta peke yake. Inwezekana umekutana na jambo ambalo linahitaji uchukue hatua muda huo huo ukaishia kusitsita baadae unakuja kujuta…
HATUA YA 68: Hii Ndio Milango ya Kufunga Kwenye Maisha yako.
Kama maisha yako hayasogei mbele kwa maana ya maendeleo lazima kuna tatizo lipo sehemu. Na siku zote kama maisha hayasongi mbele kuna siku yataanza kurudi nyuma yaani utaanza kuporomoka ka usiporekebisha mapema. Yapo mambo mengi tofauti tofauti yanayowafanya watu wakwame kulingana na tabia za watu binafsi wenyewe. Tabia moja ambayo unatakiwa uitazame kwa makini ni…
HATUA YA 67: Leo Unafanya Nini?
Kila siku ni siku mpya kwa ajili ya kutengeneza picha nzuri kwa ajili ya maisha yetu ya baadae. Hivyo siku inapokuja mpya ni nafasi kwako wewe kufanya vyema ili kujitengenezea matokeo mazuri siku za mbeleni. Ukweli ni kwamba tunaishi leo kila siku ila ili ufikie zile ndoto zako lazima ujue namna ya kufanya…