HATUA YA 78: Kuna Kitu Cha Tofauti?

Katika zama hizi ubunifu wako ndio unakutoa. Haijalishi unauza bidhaa iliyokuwepo miaka 20 iliyopita lakini ukiwa mbunifu unaweza kuleta mapinduzi. Watu wengi hadi zama hizi wanaendesha biashara au mambo yao kwa njia zile zile za miaka kumi iliyopita halafu anategemea mabadiliko. Huwezi kupata matokeo tofauti kama hufanyi vitu vya tofauti. Kuna msemo unasema “ukitaka kupata…

HATUA YA 77: Mtazamo Unaotakiwa Kuwa Nao Juu ya Kifo..

Najua utashangaa vipi huyu leo anazungumzia kifo, amepatwa na nini? Lakini nikotoe hofu kwamba hakuna ubaya kabisa kuzungumzia jambo ambalo linalotokea kwenye maisha yetu kila siku. Ukweli katika jambo ambalo limekuwa gumu sana ni mtu kujua siku yake ya kuondoka hapa duniani. Na hata mwanadamu afikirie kiasi gani sijajua kama atakuja kugundua siku ambayo ataondoka.…

HATUA YA 76: Hamasa Inavyohusika Katika Mafanikio

Hamasa ndio chanzo cha matendo ya aina zote unayoyaona duniani yakifanyika. Kama huna hamasa unashindwa kufanya jambo kwa ufanisi Ukifahamu kinacholeta hamasa ndani yako unaweza kujihamasisha na ukatimiza ndoto na malengo yako. Zipo njia mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia kama chanzo cha kuinua hamasa yako ili ufanye jambo                 Njia mojawapo ni kuzungumza maneno chanya ndani yako…

HATUA YA 75: Huyu Ndie Anaharibu Maisha yako…

Mara nyingi tumekuwa tukimtafuta mchawi wa mafanikio yetu hasa pale tunapokwama na kushindwa kwenda mbele. Tunasahau kwamba mchawi huyo tumembeba sisi wenyewe ndani yetu. Wewe pekee ndio unatakiwa uweke bidii lakini umekuwa sababu ya kujirudisha nyuma kwa kuzembea yale ambayo ulitakiwa kufanya. Wewe ndio una nguvu ya kuamua nani awe rafiki yako lakini mpaka sasa…

HATUA YA 73: Kuhitaji na Kutaka…

Unahitajika kuamka mapema Asubuhi lakini mwili unataka uendelee kulala. Uhitajika ule vyakula bora kwa ajili ya afya yako lakini mwili unataka vitu vitamu na virahisi kupatikana. Katika vitu ambavyo vitatufanya tuishi maisha ya kukwamakwama ni vitu hivi vya kutaka. Ukishindwa kutambua ni kipi cha muhimu na kipi sio cha muhimu sasa hivi utajikuta unafanya mambo…

Subscribe