HATUA YA 84: Unapopitia Changamoto hii…

Kuna wakati unaweza kupitia magumu sana kwenye dunia hii ukadhani upo mwenyewe. Kuna wakati ukadhani mbona ni wewe tu yanakukuta? Najua ulishwahi kujiuliza mambo kama haya. Ukweli ni kwamba lolote unalopitia sasa hivi sio jipya sana. Karibu kila unalopitia kuna wengine walipitia eneo japo mazingira na baadhi ya vitu vinaweza visifanane lakini kuna mambo huwa…

HATUA YA 82: Kutoa Na Kupokea.

Kamwe usitegemee kupata kinyume cha kile unachotoa. Kama utatoa chuki kwa watu utarudishiwa chuki. Ukionyesha upendo utapokea upendo. Kutoa na kupokea ni sheria ya asili ambayo ndio inaongoza maisha yetu tangu zamani. Kwa matokeo yeyote unayopata kwenye maisha yako kabla hujalaumu au kutoa sababu mbalimbali jiulize wewe mwenyewe ulitoa nini? Ukitaka kuonyeshwa upendo na wengi…

HATUA YA 81: Kitu Gani Kimetawala Mawazo Yako?

Mojawapo ya vitu vinavyowafanya watu wapoteze mwelekeo na kusahau ndoto zao ni kujaza mambo mengi kwenye akili zetu yasiyo na umuhimu. Kama akili yako inakuwa imetawaliwa na mawazo mengi ambayo hayaendani na maono yako ujue ndio matokeo utakuwa unapata kila siku. Mawazo yako ukishindwa kuyadhibiti utajikuta unaishi Maisha yasiyo na mwelekeo na kupoteza maana. Kile…

HATUA YA 80: Washangaze kwa Vitendo..

Wako wengi sana walipokuona unaanza walikukatisha tamaa na kusema kwamba hutaweza jawabu sio kurudi nyuma. Unatakiwa uwashangaze, waonyeshe kuwa umedhamiria kabisa kufanya hicho unachokifanya hadi ufikie mafanikio. Washangaze kwa kasi yako ya kusonga mbele, unajua hawaamini walikuwa wanakuona wewe ni mtu wa kawaida sasa ukirudi nyuma ndio watakuwa wamejithibitishia kwamba wewe ni wa kawaida. Washangaze…

HATUA YA 79: Huyu Ndiye Mtu wa Muhimu Kuliko Wengine..

Duniani kuna watu wengi sana bilioni saba lakini kuna mtu mmoja wa muhimu sana kuliko wengine wote. Ni muhimu sana ukamtambua ili aweze kukupa mchango wake wa nguvu kwenye kile unachokifanya. Ukishindwa kumjua mtu huyu mara nyingi utajikuta unakosa Amani ya moyo kwasababu ndiye anaesikiliza matatizo unayopitia. Mara nyingi tunakuwa bize sana hadi tunakosa muda…