Maana ya upendo ni kupoteza baadhi ya vitu ili upate kile unachosema unakipenda. Kama wewe unasema unapenda mafanikio upo tayari kupoteza nini ili uyapate hayo mafanikio? Unaposema unampenda mtu upo tayari kupoteza nini ili uendelee kubaki nae? Kama unakosa majibu sahihi mara nyingi unakuta hujapenda umevutiwa tu na mtu yule. Sijawahi kuona upendo ambao hauna…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 52: Negative Thinking (Mawazo Hasi).
Mawazo hasi ni mojawapo ya vitu ambavyo vinaharibu Maisha ya watu wengi kwa namna mbalimbali. Mawazo hasi mara nyingi humjia mtu pale anapokata tamaa, anapopitia magumu, au anapokutana na vikwazo vya namna mbalimbali kwenye kile anachokifanya. Mawazo hasi yameharibu mahusiano mengi sana. Mawazo hasi huanza kuja pale mtu anapokuwa amepata hisia kwamba mwenzake anamsaliti. Mawazo…
HATUA YA 88: Kama Maana ya Mafanikio Kwako Ni Hii Unajidanganya…
Watu wengi unapozungumzia mafanikio wanajijengea picha Fulani kubwa ya kuifikia huko baadae sana. Lakini wanasahau kwamba baada ya kuifikia hiyo picha ili picha iendelee kuwepo lazima kuna vitu unatakiwa uendelee kufanya. Wengine wakiambiwa kuhusu Ukijiajiri unakuwa huru wanafikiri uhuru ni kuamua kusafiri popote unapotaka bila ya kuomba ruhusa au kununua chochote unachotaka, pengine kuamka muda…
HATUA YA 87: Chagua Kushinda
Chochote unachotaka kukikamilisha kwenye ulimwengu wa nje lazima uanze kukikamilisha katika ulimwengu wako wa ndani. Yaani lazima uanze kupata picha ya kitu hicho katika ulimwengu wako wa ndani ambao ni fikra zako. Kama unataka kufikia ushindi kwenye kitu chochote unachokifanya lazima uanze kushinda ndani ya akili yako. Kama akili yako inasitasita basi ujue utasumbuka sana…
HATUA YA 86: Tabasamu..
Moja wapo Ya vitu vinavyowavuta watu kwako Zaidi ni kupitia kitendo cha kutabasamu. Watu wengi wamejikuta wakiingizwa mtegoni kwa kuvutwa na tabasamu. Wengine wamevutwa na tabasamu wakajikuta wamenunua vitu wasivyovipenda. Wengine wamevutwa na tabasamu hadi sasa ni wagonjwa na wanajutia sana na kulalamika tabasamu la yule kaka ndio lililonifikisha hapa. Wapo pia waliofikia mafanikio makubwa…
HATUA YA 85: Huu Ndio Ukweli Kuhusu Mabadiliko…
Watu wengi wanahamasika sana wakisikia neno mabadiliko lakini hawaelewi hasa ni vitu gani wanatakiwa kufanya ili wayapate. Tunapokuja kwenye kuchukua hatua ili kupata mabadiliko chanya wengi ndio huanza kukimbia na kurudia hali zao za kawaida. Kuna watu wakisikia kuhusu mabadiliko huwa wanapenda sana na kufurahia lakini hawaelewi nini gharama gani wanatakiwa kulipa ili kupata mabadiliko…