Ili uweze kujifunza mambo mengi Zaidi lazima uanze kukubali kwamba hujui chochote. Hata kama una vitu vingi sana ndani ya kichwa chako bado una vitu vya kujifunza kwa wengine. Jambo linawafanya watu wabakie na vile vitu wanavyovijua pekee ni pale mtu anapojiona sasa tayari ameshajua kila kitu. Au mtu anapojiona sasa yeye ameshakuwa mtu hawezi…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 58: Hofu ya Kukataliwa/Kupingwa
Kwenye Safari yetu ya mafanikio mara nyingi pale inapotokea unataka kufanya kitu cha tofauti ambacho hujawahi kukifanya kabla unaanza kukutana na hofu ndani yako. Hofu mojawapo ni ya kukataliwa au kupingwa. Unaweza kupata wazo zuri sana la biashara au la kuboresha kile unachokifanya lakini ukakutana na hofu ndani yako ambayo inakuzuia na kukutisha kwamba wazo…
HATUA YA 91: Vitu Hivi Vinaondoa Umakini.
Tuko kwenye zama ambazo kuna vitu vingi sana ambavyo vinaonekana kwama ni vya muhimu sana kuliko vingine lakini havina umuhimu wowote. Tuna mambo mengi sana ambayo yanaendelea kwenye dunia hii kila siku na yanavutia sana kufuatilia kuliko yale ambayo yanatuhusu. Kama mtu utashindwa kuwa na nidhamu au kuwa na vipaumbele utajikuta hakuna ulichofanya unapoteza tu…
HATUA YA 55: Una Nini Mkononi?
Kwenye Kitabu Cha Biblia Musa alipokuwa anawatoa wana wa Israel kutoka Misri kuelekea Kaanani, walikwama kwenye bahari ya Shamu. Wana wa Israel kama kawaida yao wakaanza kumlalamikia Musa waliona hakuna namna kabisa ya kuendelea mbele tena. Waliyaona maji kama kikwazo kwao hivyo wakakata tamaa ya safari yao. Musa nay eye hakuchelewa alimwendea Mungu aliemuagiza awatoe…
HATUA YA 90: Jua Unapokwenda..
Kitu kingine kinachowafanya watu waishie kutapatapa kwenye Maisha haya ni kutokujua au kusahau kule wanapokwenda. Ukishindwa kujua kule unapoelekea utajikuta Maisha yako yanaendeshwa na kile unachokiona sasa hivi kwa Maisha ya kawaida. Kujua unapokwenda ni kwa kuanza kufahamu lengo kuu la Maisha yako hapa duniani. Unapofahamu lengo hili unatengeneza maono yako makubwa juu ya lengo…
HATUA YA 53: Madhara ya Kukaa na Watu Hasi.
Watu Wanofikiri Hasi kwenye Maisha, mara nyingi hukosoa au kutoa sababu ambazo zinawatetea pale walipo. Watu Hasi wanaweza kuwa sababu ya wewe kutokwenda mbele kwenye mafanikio. Jana jioni nilipita mahali nikasikia watu wakizungumza juu ya mtu Fulani maarufu na mwenye pesa, watu wale walikuwa wanasema ooh! Mnamwona Fulani ni tajiri? Huyu alitoa kafara ndio maana…