HATUA YA 98: Kubali Kujinyima…

Wakati mwingine mafanikio huwa hayaji hivi hivi. Lazima ukubali kufanya vitu vya tofauti..   Lazima ukubali kujinyima baadhi ya vutu vinavyoweza kuwa sababu ya wewe kurudia hali ya zamani.Huwezi kuniambia aina ya maisha unayoishi sasa hivi yanaweza kuwa mwanzo. Jinyime starehe zisizo na lazima. Kaa mbali na watu ambao hukufanya utumie pesa ambazo hukupanga. Jinyime…

HATUA YA 95: Amua Kuanza Sasa..

Unaweza kupoteza vyote lakini huwezi kupoteza uwezo ambao Mungu ameweka ndani yako. Unaweza kupoteza cheti cha chuo lakini uwezo na maarifa yaliyoko kichwani bado yana uwezo wa kukufanikisha. Kuna wakati unaweza kujiona wewe huna chochote kwenye ulimwengu huu. Ukajishusha thamani kabisa na kujiweka katika kundi la watu wa kawaida sana. Lakini ukasahau ulizaliwa peke yako…

HATUA YA 94: Thamani ya Kitu…

Mara nyingi wanadamu tunatafuta vitu kwa nguvu kubwa sana. Huku tukiwa na mawazo kwamba baada ya kuvipata tutavifurahia sana. Kitu cha ajabu ni kwamba baada ya kuvipata tulivyokuwa tunavitafuta tunaanza kuona kama vile havitoshi tena. Tunaanza kuhamisha tena mawazo yetu kwenye vitu vingine ambavyo hatuna kisha tunaanza kuvitafuta tena. Hali hii imekuwa sababu ya watu…