HATUA YA 104: Nyuma ya Pazia

Jambo lolote zuri unaloliona kwa nje kuna watu walihusika katika kulifanya liwe zuri. Watu hawa mara nyingi wanaweza wasionekane au wasiwe maarufu kama jambo lenyewe lakini ndio wanafaidika Zaidi. Watu wengi wanapenda kuonekana mbele za watu lakini hawataki kukaa chini na watu wawatengeneze. Lazima ukubali utengenezwe nyuma ya pazia kabla hujajitokeza mbele ukiwa bora. Vitu…

HATUA YA 103: Njia 3 za Kuepuka Madeni Mabaya

Kwenye safari ya mafanikio kuna mambo mengi yanaweza kuwa sababu ya kuturudisha nyuma kila tunapopiga hatua Fulani. Mojawapo ya mambo hayo ni madeni. Madeni haya kwa namna moja ama nyingine yanakuwa sababu ya watu wengi kushindwa kuendelea katika sehemu zao wanazofanyia kazi. Ni hatari sana kama utakuwa na madeni mengi kwenye Maisha yako utajikuta unashindwa…

HATUA YA 102: Sababu 8 Za watu wengi kushindwa kwenye Biashara.

Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kuwa chanzo cha biashara nyingi kushindwa lakini hizi ni baadhi nimeziainisha kulingana na nilivyoona watu wanavyofanya biashara zao. Angalia ni wapi unakosea kisha fanya marekebisho usonge mbele. Kukosa Mpango Watu wengi wana biashara lakini hawana mipango ya kuuza, kukua, wala kupanuka Zaidi. Unakuta mtu kile anachokipata na wale wateja alionao…

HATUA YA 101: Wewe sio Wa Kwanza..

Wewe Sio wa kwanza hapa duniani hivyo ni vyema sana kuangalia wengine walifanya nini na ujifunze kwao. Hapo ulipofika hujafika kwa nguvu zako mwenyewe kuna watu walishiriki kukufikisha hapo. Haijalishi wewe ni mtu mkuu kiasi gani umekuwa tajiri kiasi gani watu wengi wamehusika kukufikisha hapo. Kama umefika mahali ukaanza kuona hakuna anaeweza kukushauri basi umejiona…