HATUA YA 375: Na Hiki Pia Umeamua Wewe.

HATUA YA 375: Na Hiki Pia Umeamua Wewe.

Unajua kwamba umeamua mwenyewe kufungua Makala hii na kuisoma? Hivyo basi Maisha ya kila siku ni mkusanyiko wa maamuzi ambayo unayafanya kila dakika na kila saa. Kila inapopita dakika kuna jambo umeliwaza na ukafanya maamuzi. Unaamua kukaa kwenye mitandao ya kijamii masaa kadhaa ukipitia mambo ya ajabu ajabu. Ulianza kwa kukumbuka vitu vya jana ukasema…

HATUA YA 374: Weka Bidii Na Ubora Hata Kama Huoni Manufaa Sasa.

Mwaka 2004 nikiwa shule ya msingi Mdawi tulichelewa kuingia darasani mimi na wanafunzi wenzangu na tukachapwa sana viboko. Sababu ambayo ilitufanya tuchelewe kuingia darasani ilikua ni matunda ya mizambarau iliyokuwa nyuma ya shule bondeni. Mizambarau hii ilikuwa imezaa sana na kulikuwa na miti ya mizambarau Zaidi elfu moja kwenye bonde lile la shule yetu ya…

HATUA YA 373: Mazao Yakiliwa Na Wadudu Shambani Sio Mwisho Wa Kilimo.

Habari Rafiki yangu, zimepita siku chache kidogo sijakuandikia Makala katika Mtandao wetu. Najua umekuwa unatamani sana kunisoma lakini haikuwa katika uwezo wangu kukuandikia kwa wakati huo. Nimerudi tena, ninaendelea kuandika, ninaendelea kuzungumza na wewe. Sijaacha kuzungumza na watu nilikuwa najaribu kitu kingine cha tofauti ili nione matokeo yake. Halafu Rafiki yangu najua unatumia mitandao ya…

HATUA YA 372: Kama Ukiona..

Kumekuwa na watu wengi ambao wanaweza kuona makossa na matatizo juu ya vitu lakini ni wachache wanaweza kuchukua hatua na kuleta suluhisho. Badala yake wanabaki wakilalamika kwa kusema ingekuwa hivi ingekuwa vile… kama wewe umeweza kuona chochote hakipo sawa basi ujue hiyo ni fursa kwako kuleta mabadiliko mahali pale. Kama umeona kuna watu wanafanya kitu…

HATUA YA 371: Fanyia Kazi Kilichopo Mbele Yako.

Hakuna kitu kibaya sana ambacho kinawafanya watu washindwe kwenda mbele kama historia mbaya ya Maisha yao. Mfano wewe kwenu tangu umezaliwa umekuwa unaimbiwa wimbo wa sisi ni maskini, kwetu hawajasomaga hata mmoja, kwetu hakuna mtu mwenye akili. Maisha yako yote yanakuwa yakiifuata ile historia ambayo umekuwa unaambiwa. Inawezekana umeshindwa kufanya vizuri kwenye vitu vingi maishani…