Habari ya Leo Msoma wa Makala za #Hatua za Mafanikio. Ninapenda kukushukuru sana kwa kuwa mmoja wa watu ambao mmeamua kuwa nyuma yangu. Napenda kuwashukuru sana wote wale mlioamua kusoma Makala hizi kila siku ya asubuhi. Ninayo furaha kubwa sana kwani leo ni siku ambayo nimetimiza miaka 25 tangu niwepo hapa duniani. Nimeamua kuitoa siku…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 115: Unajua Chanzo cha Furaha Yako?
Hakuna kitu ambacho hakina chanzo. Ukiwa na hasira sana lazima kuna kitu kimesababisha uwe na hasira. Vile vile ukiwa na furaha lazima ujue chanzo cha furaha. Hapa kwenye kutafuta chanzo cha furaha ndio kunakuwaga na matatizo mengi sana kwani wengi hawajui ni wapi wanaishia kutafuta furaha Maisha yao yote. Siku zote furaha ikiwa inaletwa na…
HATUA YA 114: Kama Unaendesha Biashara na Huna vitu Hivi Unapotea…
Kama unamiliki biashara ambayo una malengo ya kufika mbali, yaani kuwafikia watu wengi Zaidi ya ulio nao sasa hivi na bado hujamiliki mtandao unapoteza muda wateja wengi sana. Dunia imebadilika sana na kwa sasa tunahama kutoka kwenye mifumo ya analogia kwenda digitali. Kama utashindwa kubadilika na mifumo hii inavyobadilika utakuwa unakosa vitu vingi sana. Njia…
HATUA YA 113: Unaitumiaje Nafasi Yako?
Maisha ni kama mpira wa miguu. Katika nafasi kumi na moja kila mmoja anacheza kwenye nafasi yake. Ili ufanikiwe sio lazima uwe sehemu ya kufunga goli. Unaweza kuwa golikipa mwenye mafanikio makubwa, unaweza kuwa beki mwenye mafanikio makubwa pia. Swali linakuja kwako unaitumiaje nafasi yako? Nafasi uliyopewa kuicheza ndio inakufaa kabisa kufanya mambo makubwa hata…
HATUA YA 112: Anza Wewe Kwanza.
Wakati mwingine huwa tunatamani sana kusikia wengine wanatuambiaje, wengine wanasemaje juu ya kile tunachofanya ili kupata hamasa Zaidi. Lakini kabla ya yote lazima wewe mwenyewe uanze kujikubali kutoka ndani. Kama wewe mwenyewe utajikataa na kujiona huwezi hakuna atakaeweza kuja kukusifia. Ili uweze kufanya mambo makubwa Zaidi lazima kwanza uanze kujikubali kutoka ndani. Kabla hujapongezwa…
HATUA YA 111: Msukumo WaKo unaletwa na Nini?
Msukumo kwenye kile unachokifanya unaletwa na nini? Msukumo kwa yule unaesema unampenda unasababishwa na nini? Ukiweza kuniambia msukumo huo unasababishwa na kitu gani naweza kukwambia utafika mbali kiasi gani na hicho unachokifanya au huyo ulienae. Kama wewe unasukumwa na pesa, yaani kilichokuvutia Zaidi kwenye fursa Fulani ni kwasababu ulisikia kuna pesa sana usipoziona pesa utaacha.…