HATUA YA 122: Ni nani Anaejali?..

Wakati mwingine unaweza kuogopa watu juu ya kile unachotaka kukifanya kumbe woga huo hauna maana yeyote. Hakuna mtu mwingine atakaejali au anaejali kama unavyodhani.   Kila mtu ana mambo yake anafanya hivyo kama wewe unapoteza muda kuwaza watu watakuonaje endelea kuchezea muda wako. Hivi ukipata hasara kwenye biashara yako nani anajali? Ukifeli kwenye kile ulichokianza…

HATUA YA 119: Fanya Maamuzi..

Uwezo wa kufanya maamuzi haraka unategemeana na mtu anavyojitambua na kule anapoelekea. Mara nyingi mtu anaweza kuwa na wasiwasi wa kufanya maamuzi kwasababu hajaelewa ni wapi anapoelekea. Kama umeweka malengo ambayo yanaeleweka katika utendaji wake huwezikusitasita wakati unataka kuamua kufanya jambo Fulani. Hii  ni kwasababu unajua ni kitu gani kinakufaa na kitu gani hakikufai. Ndio…

HATUA YA 118: Mambo Ya Kuzingatia kwa Wajasiriamali Wadogo

Habari ya leo msomaji wa jacobmushi.co.tzleo katika HATUA tutaangalia kwa ufupi mambo ya kuzingatia kama mjasiriamali. Ili uweze kusonga mbele na ufikie kwenye kuitwa mtu Fulani mkuu lazima ujue vitu ambavyo ni vya muhimu kama msingi wa mafanikio yako. Uaminifu. Uaminifu ndio msingi wa kwanza kwa kila mtu ambaye anaingia kwenye ujasiriamali.  Bila uaminifu huwezi…

HATUA YA 117: Tabia Hizi Zinakupotezea Wateja..

Habari ya leo mwanamafanikio mwenzangu.  Napenda Niwashukuru wote mlioshiriki katika kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa jana. Nimepokea jukumu la kuongeza thamani Zaidi kwenu. Upendo mliouonyesha umekuwa ni deni kwangu. Natakiwa kurudisha upendo maradufu. Yapo mambo mengi hua yanaendelea kwenye biashara nyingi za watu ambayo kwa kawaida mtu yeyote anaetoa pesa zake ili kulipia…