Katika Maisha yetu tunapitia hali za aina mbalimbali kutokana na aina za watu tunaoishi nao. Mara nyingi hasa kwenye kipindi hiki kumekuwa na uongo uliopitiliza katika biashara, mahusiano na hata kazi zetu kwa ujumla. Ubaya wa uongo huu ni kwamba ili uweze kudanganya vizuri inakupasa uwe na kumbukumbu ya kile ulichokidanganya mara ya mwisho. Wakati…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 127: Mifuko Iliyotoboka.
Fedha hazikai kwenye mifuko iliyotoboka. Vitu vya thamani haviwekwi kwenye mifuko iliyotoboka. Mwenye Mifuko iliyotoboka anaishi kwa wasiwasi maana muda wowote akijisahau anaweza kupoteza vitu vyake vya thamani. Usikubali kuwa mtu mwenye mifuko iliyotoboka. Mifuko ninayozungumzia mimi ni mifuko iliyondani ya ufahamu wako. Kama ufahamu wako kwenye upande wa fedha umetoboka huwezi hata siku moja…
HATUA YA 126: Zifahamu Tabia 3 za Watu Waliofanikiwa..
Habari rafiki, natumaini unaendelea vyema na safari hii ya mafanikio. Karibu sana kwenye hatua ya leo tujifunze pamoja. Leo tunaangalia tabia tatu ambazo wenye mafanikio makubwa huwa nazo. Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanatamani kufikia mafanikio makubwa basi ni muhimu ukajifunza. Wanadhibiti Hisia Zao. Watu wenye mafanikio makubwa siku zote wana uwezo…
HATUA YA 125: Kwanini Usiwe Wewe?
Kama kwenu hakuna mtu mwenye mafanikio kabisa kwanini usianze kuwa wa kwanza? Kama kwenu hakuna mtu maarufu hata mmoja kwanini usianze mchakato wa wewe kuwa wa kwanza? Kama kwenu hakuna aliewahi kusoma kafika chuo kikuu kwanini wewe usiwe wa kwanza? Badala kulalamika unaweza kubadilisha ule udhaifu unaouona kuwa fursa. Badala ya kutoa sababu kedekede za…
HATUA YA 124: Watu Hawa Kuwa Nao Makini.
Habari rafiki yangu. Karibu katika hatua ya leo ya mafanikio. Ndugu Zako Wa Karibu. Hawa ni watu wa kuwa nao makini sana kwasababu wanaweza kuwa sababu yaw ewe kurudi nyuma. Kuna wakati unaweza kuhitaji ushirikiano wao labda mchango wa mawazo au pesa ili kukamilisha jambo Fulani wakashindwa kukuelewa. Inawezekana sababu ikawa ni hawaamini kile unachokwenda…
HATUA YA 123: Waambie Wasikupangie
Wewe ndio unajua unakoelekea kuna wakati unaweza kufanya mambo huku unawaza watu wanasemaje. Mfano watu wengi tafsiri ya mtu mwenye mafanikio ni mwenye gari au aliejenga nyumba yake nzuri. Lakini tafsiri ya mafanikio kwako wewe unatakiwa uitengeneze mwenyewe. Ukishindwa kuwa na maana yako ya mafanikio kutokana na yale unayoyafanya Maisha yako yanaweza kuwa ya kuwaridhisha…