Chagua kitu ambacho utakifanya kila siku hadi kikutoe. Chagua vitu ambavyo utavifanyia kazi kila siku hadi uwe bora. Ni kwambie ukweli kama siku inapita na hakuna kitu ulichokifanya kinachoelekea kule unakotaka kwenda basi umeipoteza siku yako. Umepoteza pesa nyingi sana ambazo ulipaswa kuzipata miaka michache ijayo. Andika kwenye NoteBook yako ni sehemu gani wewe uko…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 231: Mgodi Pekee unaomiliki hapa Duniani ni Huu.
Kila mwanadamu amezaliwa akiwa amekamilika ndani yake. Hata kama atazaliwa bila ya viungo baadhi kwenye mwili wake lakini bado anakuwa amekamilika katika vitu vya muhimu sana kwenye maisha yake. Ni hatari sana kuwa na viungo vyote vya mwili halafu ukashindwa kutambua na kutumia mgodi ambao ulipewa wakati unakuja hapa duniani. Mgodi huu unao na ni…
HATUA YA 230: KWANINI UNATAKIWA UPAMBANE NA HALI YAKO?
Huu msemo umekuwa maarufu sana kipindi hiki. Leo nataka nikuambie kwanini upambane na hali yako. kama ulikuwa hujui basi ni muhimu sana ukafahamu kwamba unatakiwa upambane na hali yako. Chochote kinachoendelea kwenye Maisha yako unapaswa kupambana nacho kukibadilisha. Hakuna mtu mwingine anahusika na hali unayopitia kwa saa n ahata tangu zamani. Labda kama wewe…
HATUA YA 227: Hakuna Mbadala wa Kitu Hiki.
Katika kila kitu ambacho mtu anafanya mara nyingi wengi hupenda kutafuta njia rahisi. Hata kama ni safari wengi hupenda kutafuta shortcuts ambazo zitawafikisha kwa haraka. Unachotakiwa kutambua ni kwamba hizo njia fupi zipo lakini unaweza kujikuta unalipa gharama kubwa kuliko hata ule muda uliofikiri unauokoa. Njia za kufanikiwa kwa haraka mara nyingi watu wamekuwa wanazitafuta…
HATUA YA 226: Jisikilize Zaidi.
Kama kuna mahali panachosha Zaidi kwa kipindi hiki ni kwenye dunia. Kuna kelele nyingi sana ambazo zinaweza kukufanya ukakosa utulivu kwenye kile ulichoamua kukifanya. Kuna watu wengi wanasema sana. Kuna maoni ya kila mtu juu ya kile unachokifanya. Kuna ambao watakwambia kwanini usifanye hivi, kwanini usifanye vile. Lakini mwisho wa siku sio nani amekwambia ufanye…
HATUA YA 225: Unautumiaje Muda wa Ziada?
Mojawapo ya sababu wengi wanaitumia juu ya kwanini hawana kitu kingine wanafanya ni kukosa muda. Lakini ukija kumuuliza maswali Zaidi unakuja kugundua huyu mtu ana muda mwingi wa kutosha ambao angeutumia angefanya mambo mengi sana. Kama kweli wewe umeamua kubadilisha Maisha yako kuanzia sasa achana na kuangalia Tv, Acha kupoteza muda kufuatilia mambo ambayo unajua…