HATUA YA 394: Kama Hutengenezi Maadui….

Ni kweli hutakiwi kufanya kutafuta maadui kwasababu haina maana yeyote, ila katika safari ya mafanikio huwezi kuepuka kuwa na maadui. Kuna watu watakuchukia tu bila sababu yeyote. Wengine watakuchukia kwasababu kile unachokifanya wao hawajaweza kufanya, wengine watakuchukia kwasababu wameona umeanza kuwapita kwasababu mnafanya kitu kinachofanana. Sasa wakati mwingine ili kujua kama kweli unasonga mbele na…

HATUA YA 392: Una Uwezo wa Kudhibiti.

Imekuwa ni kawaida kusikia watu wanalalamika wameumizwa kihisia, na wanasema hawatakaa wapende tena. Imekuwa ni kawaida pia kuona watu wakilalamikia mambo mbalimbali ambayo walijitoa  sana na kisha yakaja kuwaumiza kuliko walivyotarajia. Unachotakiwa kujifunza hapa ni wewe binafsi kujitahidi uweze kudhibiti hisia zako. Usipende kuziachia zikatoka au zikaonekana san ahata kwa mtu ambaye bado hujajua kama…

HATUA YA 391: Kwanini Uamke Asubuhi na Mapema?

Wakati wa Asubuhi Ndio wakati ambapo watu wengi wenye mafanikio huanza siku zao. Wengi wanaamka mapema ila sio kwasababu ndoto zao zinawasukuma, wengine wanawahi kuamka kwasababu bosi wake ni mkali akichelewa. Asubuhi akili inakuwa haijachoka hivyo chochote utakachokifanya asubuhi kinakuwa na matokeo bora sana. Asubuhi hakuna usumbufu, watu wengi wanakuwa wamelala, mifugo, redio zimezimwa, Watoto…

HATUA YA 390: Kumbuka Kitu Hiki Pale Wengine Wanapokukatia Tamaa.

Siku moja nilikutana na kijana mmoja anaitwa Baraka ambaye alikuwa na changamoto ya kukatiwa tamaa yaani kuchokwa na watu wa karibu yake kama wazazi, mpenzi wake na kadhalika. Baraka alinieleza kuwa ilifika mahali akasema sasa afanye nini tena maana kila anachokifanya wale waliomkatia tamaa wanakuwa wanaendelea kumkatisha tamaa. Ilifika mahali akiwaeleza wazo lolote jipya ambalo…

HATUA YA 389: KWANINI UNATAKIWA UMJENGEE MWANAO MTAZAMO HUU?

“Kile Unachokijua Kinakuathiri Sana Kuliko Unavyofikiri.” Nilipokuwa mdogo mtu mwenye mafanikio sana niliekuwa na mfahamu alikuwa anafanya kazi ya udereva. Hivyo nikawa nikiamini kwamba nikiwa Dereva na mimi nitakuwa na mafanikio. Niliendelea kuamini hivyo hadi nimefika darasa la saba. Hali hii ilisababisha mpaka wale ambao wananisomesha waliponiuliza unataka kuja kuwa nani nikawaambia nataka kuja kuwa…

Subscribe