HATUA YA 296: Vile Unavyofikiri Juu ya Vitu Ndio Inaamua Furaha au Huzuni.

Very little is needed to make a happy life; it is all within yourself, in your way of thinking. -Marcus Aurelius. Mwanafalsafa huyu anatuambia ni vitu vidogo sana vinakukuhitaji ili uwe na furaha ya Maisha, na vitu hivyo vipo ndani yako katika namna unavyofikiri. Furaha au huzuni hailetwi na matukio yanayotokea bali ni namna ambavyo…

HATUA YA 295: Hakuna Chenye Thamani Kinachopatikana Bila..

I never did anything worth doing by accident, nor did any of my inventions come by accident; they came by work. Plato Sijafanya kitu chochote kilicho cha thamani katika kufanya kwa ajali, wala hakuna uvumbuzi wangu uliokuja kwa ajali; vyote vilikuja kwa kufanya kazi. Plato Hii inatuonyesha kwamba chochote kile ambacho unafikiri kina thamani kubwa…

HATUA YA 292: Ni Rahisi Sana Lakini…

Ni rahisi sana kulalamika Maisha ni magumu, Ni rahisi sana kutoa sababu nyingi zilizofanya ushindwe, Ni rahisi sana kuendelea kuishi Maisha yale yale uliyoyazoea, Ni rahisi sana kutumia muda wako kufanya mambo ambayo hayana mchango wowote kwenye Maisha yako. Ni rahisi sana kutumia muda wako kufuatilia Maisha ya wengine na huku ukiwa umeyasahau ya kwako.…