HATUA YA 302: Jinsi Unavyopoteza Nguvu Zako Bila Ya Wewe Kujua.

Katika Maisha kuna mambo mengi sana tunafanya kila siku mengine ni kutokana na mazoea yetu na mengine ni yale ambayo tunapanga kufanya. Katika mambo ambayo yanaweza kuwa na athari kubwa kwenye Maisha yako ni yale ambayo umekuwa na mazoea ya kuyafanya. Kutokana na mambo ambayo umezoea kuyafanya kuna ambayo yanaweza kuwa na faida kwako na…

HATUA YA 301: Ukiweza Kuvumilia hiki Lazima Utimize Ndoto yako.

“If you don’t quit, and don’t cheat, and don’t run home when trouble arrives, you can only win.” – Shelley Long Zinapofika nyakati za matatizo kama uispoacha, usipofanya udanganyifu na wala usipokimbia kurudi kule ulipopazoea ni lazima ushinde. – Shelley Long Hakuna hata sehemu moja umeona mtu ameacha kupambana au kufanya kile anachokifanya kwasababu kinamletea…

HATUA YA 299: Kama Unafanya Hivi Umeshatoka Nje ya Kusudi.

Ikifika mahali kila unachokifanya hutaki kusikiliza wengine, kushauriwa wala kukosolewa ujue kwamba unalolifanya umeshapotea njia. Hii ni kwasababu karibu kila tunalolifanya hatufanyi kwa ajili yetu bali kwa ajili ya wengine. Haijalishi wewe una kipaji kikubwa kiasi gani unaimba vizuri sana haujiimbii wewe mwenyewe unaimba ili watu wasikie kile unachokitoa. Kama umefikia sehemu ambayo wale ambao…

HATUA YA 298: Uaminifu Huu Umezidi Yote.

Wakati ambao hakuna mtu wa kukufuatilia wala kukupangia cha kufanya ndio tunaweza kujua ufanyaji wako wa kazi ukoje. Ile bidi utakayoionyesha kwenye kazi na hakuna mtu anaekutazama ndio bidi yako halisi. Vile vile kwenye mambo mengine, kama wewe haupo kwenye mahusiano zile tabia ambazo unakuwa nazo kipindi hicho ndio tabia zako halisi. Kama umekuwa mtu…