Napenda kuchukua nafasi hii ya leo kumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai na nafasi ya kuendelea kuwepo hapa duniani. Nashukuru kwa kipawa hiki cha uandishi ambacho kimekuwa faida kwa wengi ambao wamekuwa wanasoma kila siku hapa. Nimeona nikuandikie mambo 26 niliyojifunza ndani ya miaka hii niliyopo hapa duniani. Kuzaliwa ni kama bahati kwasababu hakuna…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 321: Ukichukua Hatua ya Imani, Utaanza Kuona Usiyoyatarajia.
Kuna Mambo hutakaa uyaone kwenye Maisha yako hadi uamue kuchukua Hatua ya Imani. Hatua ya Imani ni kutoka na bidhaa zako nyumbani kwenda nazo mtaani ukiwa hujui nani atakwenda kuzinunua na ndio mara ya kwanza. Hatua ya Imani ni kuanza kufanya lile wazo ulilokuwa unaogopa sana watu watasemaje au watanionaje. Kuna baraka zitaanza kufunguka kwenye…
HATUA YA 320: Hivi Ndio Namna Ya Kutabiri Mwisho Wako.
Jipatie Vitabu vya Biashara na Mafanikio… https://jacobmushi.co.tz/patavitabu Mti unajulikana kwa matunda yake. Aina ya matunda ambayo mti unatoa ndio tunasema huu ni mti Fulani. Tabia za mtu ndio hatma ya Maisha yake, vile vitu ambavyo unavifanya kila siku ndio vinaonyesha unakoelekea. Kama unadhulumu watu mwisho wako ni mbaya sana, utakuja kudhulumiwa na kupoteza kila ulichonacho. Wewe…
HATUA YA 319: Ni Ukweli au Ni Hofu Tu?
Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Miaka michache iliyopita katika nchi moja hapa barani Africa kulikuwa na baba mmoja ambaye alikuwa maarufu sana kwa kuuza supu sana pembezoni mwa barabara. Baba huyu hakusoma shule hivyo alikuwa hawezi kusoma magazeti. Masikio yake yalikuwa na matatizo kidogo hivyo hakuweza kusikiliza redio wala taarifa…
HATUA YA 318: Ukishindwa Wewe, Sio Kila Mtu Atashindwa.
Offa, Ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ “Because a thing seems difficult for you, do not think it impossible for anyone to accomplish.” ― Marcus Aurelius Kwasababu kitu kimeonekana ni kigumu kwako, usifikiri haiwezekani kufakiwa kwa wengine pia. Kuna tabia ya wengi kupenda kutoa mfano wa walio shindwa jambo ambalo wameona unataka kufanya. Pia mtu mwingine…
HATUA YA 317: Umejifunza Nini?
Inawezekana wewe ni Mkristo na umekuwa unaikumbuka hii siku kuu ya Pasaka kila mwaka, lakini lipo swali la muhimu kujiuliza. Je tunajifunza nini? Pia haijalishi wewe ni dini nyingine yeyote au pia huamini kama kuna Mungu, bado unapaswa kuangalia katika namna ya kujifunza. Lipo jambo moja kubwa ambalo kila mmoja wetu anaweza kulipata kwenye siku…