Mara nyingi unapoamua kufanya jambo la tofauti na lenye ugumu tofauti na ulivyozoea kunakuwa na hofu ndani yako. Hofu ya kushindwa,hofu ya kupata aibu, hofu ya kusemwa na za aina nyingi. Pamoja na hofu mbalimbali ambazo zitakuwa ndani yako bado unakuwa na nafasi ya kupata matokeo bora endapo tu mtazamo wako kwenye hilo jambo utakuwa…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 327: Mbinu Ya Kuweza Kufanya Usiyoyapenda.
Tunasema ili ufanikiwe ni muhimu ukafanya kile unachokipenda. Ni kweli hili kabisa ila sasa katika kufanya kuna mambo utakutana nayo ambayo huyapendi kabisa. Hayo mambo yanaweza kuwa ya muhimu sana katika kufikia mafanikio. Mfano unafanya unachokipenda na lakini kinakulazimisha uamke mapema saa kumi. Hapo wewe unapenda sana kulala, itakubidi uamke mapema japokuwa unapenda kulala. Unapenda…
HATUA YA 326: Wanakuonesha Wanachotaka Uone.
Kwenye dunia ya sasa ya mitandao ya kijamii imekuwa ni rahisi sana kuweza kumtafuta mtu yeyote na kuona mambo mbalimbali anayoyafanya. Ni rahisi sana kujua vitu kuhusu watu hao lakini sio rahisi kuujua ukweli kuhusu wao. Watu wengi wamekuwa wanatengeneza picha mbalimbali za watu kutokana na yale walioona kwenye mitandao. Ni rahisi kutengeneza picha Fulani…
HATUA YA 325: Ukisikia Biashara Inalipa Sana…
Imekuwa ni kawaida sana kusikia watu wanasema biashara fulani inalipa sana au fursa Fulani ukifanya lazima utoke. Ndio inawezekana ni kweli ukifanya utatoka, mfano ni msimu ambao mahindi ya kuchoma yanahitajika sana mjini halafu hayapo. Ukiingia kwenye hiyo fursa na ukaweza kuyapata mahindi kwa bei rahisi ukaja kuyauza kwa bei ghali unajikuta umepata pesa ya…
HATUA YA 324: Hakuna Anaejali, Kuliko Unavyotakiwa Kujali.
Ulishawahi kufanya jambo halafu matarajio yako yalikuwa ni watu wakuzungumzie au wakujali sana lakini ukaja kukuta hakuna hata anaehangaika na wewe? Hii inatokana na pale unapofanya jambo ili uonekane au usifiwe na mwisho wa siku unakuja kugundua kwamba wale ambao unawafanyia wala hawakufikirii. Usije ukapoteza muda wako kufanya vitu ili upate sifa Fulani, au uonekane…
HATUA YA 323: Hii Ndio Sababu ya Wengi Kukosa furaha na Kutotosheka.
Kama kila kiumbe hai kitaweza kufuata vile kilivyotakiwa kuishi kila kiumbe kitatosheka. Mwanadamu ndie kiumbe ambaye anaongoza kwa kutokutosheka hapa duniani. Kutokutosheka ni kile kitendo cha mtu kuacha kutazama vile ambavyo tayari amebarikiwa na kuangalia Zaidi vile ambavyo yeye hana ila wengine wanavyo. Usiache kutembelea Hapa Ujipatie Vitabu Bora vya Mafanikio na Biashara https://jacobmushi.co.tz/patavitabu/ Kama umewahi…