Usiishie Njiani

Chukua Hatua, Timiza Ndoto Yako

Jalada la kitabu Usiishie Njiani
  • Softcopy
  • Bei halisi Tsh 9,900 Bei ya ofa Tsh 4,900 Ofa −51%

Kitabu hiki ni maalumu kwako wewe ambaye unataka ndoto yako itimie, na kwako wewe ambaye bado hujapata mwelekeo wa maisha yako.

Haijalishi umezaliwa wapi — maisha ni zawadi. Katika maisha haya kamwe usimlaumu mtu yeyote kwa sababu ya kushindwa kwako. Kitabu hiki kinakupa mwongozo wa kujitambua, kufahamu kusudi lako, na kuchukua hatua hadi ufike unapotaka kufika.

Utajifunza nini

  • Kwa nini watu wengi wanaishia njiani, na namna ya kutokuwa mmoja wao.
  • Namna ya kutambua kusudi lako na kulishikilia hata mambo yanapokuwa magumu.
  • Hatua ndogo ndogo zinazokufikisha mbali kuliko juhudi kubwa ya siku moja.
  • Namna ya kusimama tena baada ya kuanguka.

Vitabu vingine

Mafanikio Kwenye Biashara

Kitabu hiki kimebeba uhalisia wa Maisha ambayo nimeishi na kujifunza kutoka kwa wengine. Pamoja na kitabu hiki…

Bei halisi Tsh 19,900 Bei ya ofa Tsh 9,900 Ofa −50%

Siri 7 za Kuwa Hai Leo

Msingi wa Maisha yenye Mafanikio

Misingi saba ya maisha yenye mafanikio — kwa nini upo hai leo, na unapaswa kufanya nini nayo.

Bei halisi Tsh 19,900 Bei ya ofa Tsh 9,900 Ofa −50%

Mbinu 101 za Mafanikio

Mkusanyiko wa Hatua za Mafanikio

Makala 101 zilizochambuliwa kutoka mfululizo wa HATUA ZA MAFANIKIO — mbinu za kusonga mbele.

Bei halisi Tsh 19,900 Bei ya ofa Tsh 9,900 Ofa −50%