HATUA YA 252: Uko Hivyo Ulivyo Kwa Kuamua.

Wako waliopitia changamoto kubwa kuliko wewe lakini hawajakata tamaa. Wako ambao walipata hasara kubwa sana kuliko hyo ambayo unajitetea nayo lakini bado wakasonga mbele na sasa tunazungumzia mafanikio yao makubwa. Wako waliochwa na waale waliowapenda sana lakini hiyo haikuwa sababu ya wao kuacha kutimiza ndoto zao bado wakasonga mbele tu. Hiyo kwao haikuwa sababu kubwa…

HATUA YA 130: Nguvu ya Uthubutu na Kuchukua Hatua

Jambo lolote unalotamani kulifanya linaanza na uthubutu wa kuchukua hatua ya kwanza, kama hutajaribu kuanza kupiga hatua hautaweza kwenda mahali popote. Mtoto mdogo anaweza kusimama kwa kuanza kusimama kidogo kidogo huku akiogopa na mara nyingine huanguka. Nakumbuka nilikuwa na mdogo wangu mmoja wakati akiwa mdogo aliogopa sana kutambaa, ikabidi tuwe tunamwekea kioo mbele yake. Anapojiona…