Sifa ya binadamu ambayo tumejijengea na ni kubwa sana ni pale kujenga mazoea Fulani na mazoea yale yanakuja kuwa tabia zetu. Na siku zote mtu anapokizoea kitu anaweza kukichukulia cha kawaida sana na asikipe tena thamani yake. Unapotaka kuwa na bidhaa ambayo watu watahitaji sana kwenye maisha yao na wasiipate mahali kwingine unakuwa umejijengea namna…
All posts tagged biashara
KONA YA BIASHARA: Mbuyu Ulianza kama Mchicha.
Nionyeshe mti mmoja imara ambao umekua kwa siku chache. Ukweli ni hakuna miti mingi ambayo hukua haraka haidumu wala mashina yake sio imara kama miti inayochukua muda mwingi kukua. Usitamani matokeo makubwa ya haraka ambayo hujayafanyia kazi utakuja kushindishwa kuyabeba au kuendeleza. Kama ambavyo tunasema mbuyu ulianza kama mchicha basi hakuna haja ya kukimbizana na…
KONA YA BIASHARA: Epuka Tabia Hii
Jambo Moja unalopaswa kukumbuka kila wakati unapokuwa kwenye biashara yako ni hili EPUKA MAZOEA. Mazoea ni sumu mbaya sana ambayo inaweza kukusababisha ukaanza kumtafuta aliekuloga kumbe chanzo ni mazoea. Unapoanza biashara unakuwa na hamasa kubwa unawahudumia watu vizuri sana sasa shida inakuja pale unapokuwa tayari umeshasimama. Biashara inaenda vizuri umepata wateja wa kutosha na biashara…
JINSI YA KUPATA WAZO LA BIASHARA
Habari rafiki, leo nataka nikuonyeshe njia mbalimbali za kupata wazo la biashara na mtaji. Inawezekana mwaka huu una mpango wa kwenda kuanza biashara yako mpya Makala hii itakua msaada kwako. Inawezekana pia una wazo la biashara lakini hujui utatoa wapi mtaji Makala hii pia itakwenda kukuonyesha mwanga. Njia za kupata WAZO LA BIASHARA: Find something…