524; HEKIMA: Panda Mti

524; HEKIMA: Panda Mti

Katika kutafakari sana siku ya leo juu ya Maisha yetu hapa duniani, nimekutana na jambo hili la ajabu sana. Nasikia kabisa Mungu anasema nikwambie, nizungumze na wewe ambaye umekata tamaa katika sehemu mbalimbali za Maisha yako. Unajua unaweza kufanya vitu vya aina mbalimbali vyote vikaharibika bila kukuletea mafanikio yoyote. Njia rahisi unaweza kuchagua ni kukata…

522; HEKIMA: Kabla Hujakata Tamaa

522; HEKIMA: Kabla Hujakata Tamaa

Jaribu Tena, ndio nasema jaribu tena bila kujalisha umeshajaribu mara ngapi. Jaribu tena ukiwa na uhakika kwamba kuna jipya ulilojifunza kichwani kwako. Jaribu tena bila ya kuhofu labda utakosea tena. Kama tayari kuna somo umepata kwenye kushindwa kwako basi utakuwa na ujasiri wa kujaribu tena. Watu wengi hukata tamaa kabla hawajakaa chini na kujitazama ni…

521; HEKIMA: Serikali Yako Ina Sheria na Taratibu?

521; HEKIMA: Serikali Yako Ina Sheria na Taratibu?

Kila serikali huendeshwa kwa sheria na taratibu mbalimbali ambazo huwezesha watu kuishi kwa pamoja na kupunguza matatizo mbalimbali. Nimejiuliza kama mpaka sasa kungekuwa hakuna serikali, wala mipaka ya nchi yaani mtu peke yake anaibuka tu anafanya kila anachotaka tungekuwa wapi? Ukweli ni kwamba kuna vingi tungekosa na kuna vingi vingepotea. Sasa kama ni hivyo wewe…

520; HEKIMA: Kwanini Wengine Wanashinda?

520; HEKIMA: Kwanini Wengine Wanashinda?

Ni kwasababu wameamua kulipa gharama, Ni Kwasababu wameamua kujitoa kwa kila namna, Ni kwasababu wameamua na wapo tayari kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza. Ni kwasababu wamebadili mitazamo yao kutoka vile walivyokuwa mwanzo na sasa wana mitazamo kama wale waliofika mbali zaidi. Ni ukweli huo rafiki kama haupo tayari kulipa gharama huwezi kupata kile unachokitaka. Kama…

519; #HEKIMA Hii ndio Sababu ya Kupoteza Furaha.

519; #HEKIMA Hii ndio Sababu ya Kupoteza Furaha.

β€œIt isn’t what you have or who you are or where you are or what you are doing that makes you happy or unhappy. It is what you think about it.”― Dale Carnegie, How to Win Friends and Influence People Mwandishi Dale Carnegie anasema katika kitabu chake kwamba, SIO KILE ULICHONACHO AU VILE ULIVYO AU…

Subscribe