Mambo 5 Yanayoonyesha Unachokifanya Sio Kusudi Lako

Habari za leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Natumaini leo yako inaendelea vyema. Tunakwenda kuangalia mambo matano yanayoonyesha kua unachokifanya sio kusudi la wewe kuwepo duniani. Karibu ujifunze pamoja name. Kukosa furaha. Kama unachokifanya hakikufanyi unakajisikia furaha ndani ya moyo wako yaani hufurahii kukifanya moja kwa moja hilo sio kusudi lako. Kaa chini tafakari ujue…

Jinsi ya Kuchukua Hatua na Kuanza (How to Start).

Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni furaha yangu kusikia kwamba unapiga hatua na kusonga mbele kila siku kwenye kile unachokifanya. Leo tunajifunza Jinsi ya Kuanza jambo unalotaka kulitimiza maishani mwako. Inawezekana umehamasika sana, umejifunza mengi sana humu lakini bado hujaanza. Bado unajishauri na kusema mwakani nitaweka malengo nianze kuliishi kusudi langu, mwakani nitaanza…

NGUVU YA TAARIFA KATIKA MAONO NA NDOTO ZAKO.

Habari Rafiki,  natumaini unaendelea vyema.  Pole na majukumu mbalimbali ya kutimiza kile kinachokufanya uwepo hapa duniani. Leo tunakwenda kutazama Nguvu ya Taarifa Juu ya Maono na Ndoto  zetu.  Kama tunavyojua katika ulimwengu wa sasa mawasiliano yamekua rahisi sana.  Na hii imeletwa na mapinduzi ya teknolojia yanayoendelea kuvumbuliwa kila siku.  Ninafurahishwa sana na teknolojia mpya zinazotokea…

PAST IS ALWAYS PAST FORGET ABOUT IT.

By Mushi Jacob.  Kitu chochote kilichopita kimeshapita. Kiwe kizuri au kibaya kimeshapita.  Kwanini nasema hivyo? Watu wanajikuta wanarudi nyuma Kwasababu ya mambo yaliyopita. Inawezekana mambo haya ni mazuri sana pia yakakurudisha nyuma.  Wana wa Israel walipopitia magumu ya Jangwani wakaanza kukumbuka masufuria ya nyama na pilau waliokuwa wanakula bure.  Unapoacha kazi ukaamua kwenda kujiajiri ukipitia…

ZAWADI YA KWANZA MWAKA 2017, KITABU SIRI ZA KUWA HAI LEO;

Habari za leo Rafiki yangu? Unaendeleaje na Maisha? Natumaini unaendelea vyema sana. Nina zawadi nzuri sana nimekuandalia ndani ya mwaka huu 2017 mojawapo ya zawadi hizo ni kuchapisha kitabu nilichoandika kwa ajili yako. Kitabu hiki kitakuwa ni zawadi ya kwanza ambayo nitaanza kukupatia mwezi wa February. Kitabu hiki kimebeba mambo saba ya muhimu ambayo unatakiwa…

Subscribe