Vijana ndio tegemeo kubwa katika sehemu mbalimbali za kijamii, kidini, n ahata pia kisiasa. Kwenye serikali tuna maaskari polisi wengi ambao ni vijana pamoja na wanajeshi. Dini zetu pia zinahitaji vijana Zaidi kwasababu ndio pekee wenye nguvu kuliko wazee na watoto. Vijana pekee ndio wanaweza kufanya mambo makubwa na yakaleta matokeo makubwa. Vijana ndio wanahusika…
All posts in USIISHIE NJIANI
MAMBO MATANO NILIYOJIFUNZA LEO. 1
Habari za Leo Rafiki yangu. Unaendelea kufanya kile ulichoamua kukifanya? Umeshatambua ni kwanini upo hai Leo? Mungu hajakuacha bahati mbaya. Sio kwasababu wewe ni mwema sana kuliko waliopoteza maisha yao. Sasa basi usichezee hata siku moja vibaya usiache siku yeyote ipite bila ya wewe kufanya jambo kwenye kusudi la wewe kuwepo hapa duniani. Nimeamua kukuandalia…
SIMAMIA UNACHOKIAMINI
Desmond Thomas Doss (February 7, 1919 – March 23, 2006) Alizaliwa nchini Marekani Virginia Alikuwa ni mwanajeshi aliepigana vita ya pili ya dunia. Katika Maisha yake alijiwekea ahadi kwamba kamwe hatashika bunduki hii ni kutokana na Imani yake kwamba kushika bunduki ni sawa na kuua. Alipata upinzani mkubwa sana kwenye kambi ya jeshi wakati anafanya mazoezi na ilikuwa…
USITAZAME LEO
Leo vita ni vingi sana, Leo hakuna mavuno bado. Leo wanakusema wengi Leo inaonekana kama ni ngumu sana. Leo inaonekana kama utakwenda kushindwa. Leo inakatisha tamaa sana. Leo unatoka jasho jingi sana. Leo unatumia nguvu nyingi sana. Ukitazama leo utakata tamaa Ukitazama leo utarudi nyuma. Ukitazama leo utayaona magumu. Itazame ndoto yako. Yatazame mazao yakiwa…
Mambo 9 ya Kufanya ili Uishi Maisha yenye Furaha Siku Zote.
Habari ya leo rafiki yangu na msomaji wa Makala hizi. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na safari ya mafanikio. Katika Makala yetu leo nitakwenda kukushirikisha vitu 9 vya kufanya ili uweze kua na maisha yenye furaha. Kwenye maisha zipo chngamoto nyingi tunazozipitia na zinasababisha tuishi maisha ya wasiwasi,huzuni na woga wa kesho ukiweza kufanya…
UPO TAYARI KUACHA ALAMA GANI?
#SIRI_7Siku moja nilijiuliza swali Nikiweza kutimiza ndoto yangu ya gari aina ya BMW X6 baada ya hapo nikaambiwa nimebakiza masaa machache nife nitafurahia? Nikajiuliza tena Nikiweza kutimiza ndoto yangu ya kujenga nyumba nzuri sana ya kuishi halafu nikaambiwa bado siku mbili ufe je nitafurahia? Nikasema tena na moyo Nikitimiza ndoto yangu ya kumuoa mke mzuri…